Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

Unaachaje kuzalisha umeme wa nuclear ilihali kuna uranium chungu nzima ardhini ulishawahi jiuliza hili swali

Kama uranium ipo nyingi basi suluhusho la changamoto zake lipo acha kukimbia changamoto

Kwa akili kama zako ndo maana waafrika wanaendelea kuwa wasindikizaji kwenye science
kaka ndo mana nimesema unashida kubwa sana kuliko unayopambana kuitatua, sijasema sitaki uranium itumike, inshu ni kuzuia madhara kwa njia yako ya kupunguza half life. najua hutonielewa mana unashida tayar ambayo lazima itatuliwe ndo uje tuanze na hii ya umeme wa uranium.
 
Wewe ndo unashida
Kama hamna suluhisho la half life inamaana neno lako sio sheria kila mtu anauhuru wa kuja na suluhisho ila anayefikiri kinyume na wewe anashida

Ndo maana hii nchi kwa sababu huko serikalini wamejaa watu wenye akili zako ukiwapa mawazo mbadala ghafla unageuka adui

Huna fikra huru umekaririshwa

Hakuna suluhisho la half kila mtu ana-haki ya kufikiri suluhisho kumuattack kamwe hakutazuia watu kufikiri

Ndo maana kama wewe ni mzazi kwa fikra hizi hata watoto wako wakija na mawazo mbadala wanapokelewa na makofi na kukoselewa mwisho wa siku wanaogopa kufanya kitu

Mimi hata untukanaje kamwe hakuna wa kunizuia na kunipangia namna ya kufikiri ntautumia huo uhuru to the maximum
 
Back
Top Bottom