imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Acheni kumdanganya mwambieni ameze vidonge vyake.Huyu jamaa, hata kama atofanikiwa ila kuyajua tu mambo anayoyasema humu.
Ana kitu kikubwa kichwani...wala asibezwe hata kidg.
Acheni kumdanganya mwambieni ameze vidonge vyake.Huyu jamaa, hata kama atofanikiwa ila kuyajua tu mambo anayoyasema humu.
Ana kitu kikubwa kichwani...wala asibezwe hata kidg.
😀 hahaNdio shusha vyuma hakikisha huu mwaka kabla haujaisha asilimia 90% kama sio 100% wanakuwa na fikra huru. Kwa sasa akili zao zipo zina burnout kwa ndani. Tajiri Sina BAYA Shimba ya Buyenze Castle_Lite Nomadix imhotep
Mtu kama wewe tokea uzaliwe hajui hata plutonium ni nini kwa hiyo huna unachojua na hutaki kujua kwa hiyo sio kosa lakoAcheni kumdanganya mwambieni ameze vidonge vyake.
Zinapungua lakin haziishii na asikudanye mtu hiyo kuama ni siasaDunia sasa inahama kutoka kwenye Nuclear Fission na kwenda kwenye Fusion takataka zitapungua sana.
Sio mpaka Raisi wa Tanzania aje kuchakata takataka.
Mtu kama na unafki huu unaweza kuta ni mwanaume na baba wa familiaMuheshimiwa Raisi mtukufu una madini Sana yaan wewe tukupe kura uwe Raisi mtukufu wa Maisha TANZANIA.
Mkuu nampimzisha Mheshimiwa angalau ajizolee kijiji kidogo, maana imani ni kitu kikubwa vuta picha mtu anajifunga bomu na kujilipua kwa sababu tu ya kumwamini mwanaadamu, wengine wanafungiwa mahali na kuchomwa moto kwa hiari yao.Ndio shusha vyuma hakikisha huu mwaka kabla haujaisha asilimia 90% kama sio 100% wanakuwa na fikra huru. Kwa sasa akili zao zipo zina burnout kwa ndani 😁😁😁. Tajiri Sina BAYA Shimba ya Buyenze Castle_Lite Nomadix imhotep
Kwanini na wewe umekatazwa kukomba kijijiMkuu nampimzisha Mheshimiwa angalau ajizolee kijiji kidogo, maana imani ni kitu kikubwa vuta picha mtu anajifunga bomu na kujilipua kwa sababu tu ya kumwamini mwanaadamu, wengine wanafungiwa mahali na kuchomwa moto kwa hiari yao.
Acha Mr president akombe kijiji chake.
Hapana mkuu.Kwanini na wewe umekatazwa kukomba kijiji
Ukiwa rais wa kitu gani..?Moja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake
View attachment 3327741
Nafikili Milembe ipanuliwe, ,afya ya akili ni kubwa sana nchi hiiMoja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake
View attachment 3327741
Ndio shusha vyuma hakikisha huu mwaka kabla haujaisha asilimia 90% kama sio 100% wanakuwa na fikra huru. Kwa sasa akili zao zipo zina burnout kwa ndani 😁😁😁. Tajiri Sina BAYA Shimba ya Buyenze Castle_Lite Nomadix imhotep
Uko mbali sana kifikra sio kosa lakoNafikili Milembe ipanuliwe, ,afya ya akili ni kubwa sana nchi hii
Ni moja ya Sera zake.😀 haha
Nasubiri rais aseme "nikiwa rais nitahakikisha jua linawaka Tanzania tu ili kuongeza mapato kwa kuwakodishia nchi zingine"
Unaachaje kuzalisha umeme wa nuclear ilihali kuna uranium chungu nzima ardhini ulishawahi jiuliza hili swalinakushauri ukiwa rais anza kujitibia kwanza hilo tatizo;
kwa ufupi tu; the energy that would be required to alter the decay rate(half life) would be greater than the enegy produced from nuclear plants, zipo elements ambazo zina half life chini ya second/dakika/hour n.k (radioisotopes used in radiation treatment) but the matter is not how fast these nuclei decay, but the amount of energy liberated. lighter nuclei deriver minimal energy than heavy nuclei like urannium, ndio mana zinatumika sana huko kwenye plants. changing the half life probably you will be changing the nuclear anatomy, elimanating nuclear forces holding protons and neutrons which require tremendous energy to split them. sasa rais ujae, chagua unataka umeme wa uhakika au unataka dunia isio na wastes iliyopo gizani, kwahiyo ndo maana njia bora ni kuacha kuzalisha huu umeme kama bado haujajiandaa kupambana na madhara yake.
Umeamua kutunga uongoNi moja ya Sera zake.
Raisi tunae