Kong xin cai
Member
- Dec 12, 2020
- 85
- 94
kaka ndo mana nimesema unashida kubwa sana kuliko unayopambana kuitatua, sijasema sitaki uranium itumike, inshu ni kuzuia madhara kwa njia yako ya kupunguza half life. najua hutonielewa mana unashida tayar ambayo lazima itatuliwe ndo uje tuanze na hii ya umeme wa uranium.Unaachaje kuzalisha umeme wa nuclear ilihali kuna uranium chungu nzima ardhini ulishawahi jiuliza hili swali
Kama uranium ipo nyingi basi suluhusho la changamoto zake lipo acha kukimbia changamoto
Kwa akili kama zako ndo maana waafrika wanaendelea kuwa wasindikizaji kwenye science
Sawa Mhe Raisi.Umeamua kutunga uongo
Wewe ndo unashidakaka ndo mana nimesema unashida kubwa sana kuliko unayopambana kuitatua, sijasema sitaki uranium itumike, inshu ni kuzuia madhara kwa njia yako ya kupunguza half life. najua hutonielewa mana unashida tayar ambayo lazima itatuliwe ndo uje tuanze na hii ya umeme wa uranium.
Muheshimiwa Raisi mtukufu Mimi ni loyal na mtihifu Kwako naomba wizara kwenye SERIKALI YAKO tukuka/tukufu.Mtu kama na unafki huu unaweza kuta ni mwanaume na baba wa familia
Unatumia jina fake na sio halisiMuheshimiwa Raisi mtukufu Mimi ni loyal na mtihifu Kwako naomba wizara kwenye SERIKALI YAKO tukuka/tukufu.
Unatumia jina fake na sio halisi