Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu

Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi ikiwemo fursa ila pia uzuri wa zile nchi ni moja ya sababu inayovutia watu wengi kwenda nchi za Western na zilizoendelea

Ukienda na ukikaa mda na ukirudi Tanzania unaposhuka uwanja wa jk Nyerere au KIA aisee macho yanakataa picha unayokutana nayo sio nzuri unakutana na ubaya na sio uzuri

Ukiangalia mechi za mpira wa miguu, mashindano ya tennis, diamond league za nchi zilizoendelea n.k utaona kuna beauty flani hivi ambayo huioni wakati unaangalia mechi za ligi ya Tanzania

Swali sisi tufanyaje ili tuweze kuifanya nchi yetu kuwa nzuri sababu hakuna asiyependa mazingira mazuri kama yale ya nchi za Western

NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAIFANYA MIJI YA TANZANIA KUWA MIZURI KAMA ILIVYO KWA WESTERN COUNTRIES
  1. Tukihakikisha masterplan I afuate kwa lazima basi baada ya mda miji
  2. Majengo yakiwa identical yaani yakiwa uniform yaani kukiwa na finish code basi itafanya miji yetu ipendeze-sio sahivi kila mtu anafanya finish code kivyake matokeo yake majengo hayapendezi
  3. Tukipiga paving zenye ubora wa juu kwa baadhi ya maeneo yote ya mjini basi automatic baada ya mda miji yetu itakuwa mizuri

Hiyo hali ya ubaya ambayo ipo kwenye moja ya mji hapo chini na miji yote ya Tanzania tunaweza iondoa
images (26).jpeg
 
we jamaa kwann unapenda kujenga hoja kubwa kiuwepesi sana yaan kitapeli. Sasa hayo si mtoto wa chuo mwaka wa kwanza anaweza yasema. Emu ukija kushuhsa uzi humu onyesha kama mtu mzima ambae amelielewa suala sio kuleta siasa za kitoto za mkinichagua nitawejengea polisi wote maghorofa.
 
View attachment 3423014
unatakiwa kuainisha na pesa zitatoka wap, mfano kutokana na mapato ya serikali flan na flan fungu hili litakua kwa ajili ya miji
 
Huu ni mji gani umepost?
 
we jamaa kwann unapenda kujenga hoja kubwa kiuwepesi sana yaan kitapeli. Sasa hayo si mtoto wa chuo mwaka wa kwanza anaweza yasema. Emu ukija kushuhsa uzi humu onyesha kama mtu mzima ambae amelielewa suala sio kuleta siasa za kitoto za mkinichagua nitawejengea polisi wote maghorofa.
Nchi kila mahali ni mbaya anatokea mtu anaongelea namna ya kuondoa ubaya anaonekana kituko

Kwa hiyo unataka hii hali ya ubaya iendelee hivi hivi???
Mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe
 
Mapato haya haya ambayo CAG anatuambia zinaibiwa ndo zitatumika
mambo hayaendi ivo aisee, mapao ya ndan hayawezi kufanya miradi ya maendeleo inabidi ufanye jitihada za nje, ata nci iwe na uchumi mkubwa kiasi gan mapato yale ya ndan hayawezi kujenga nchi yataweza tu kuendesha badhi ya sector na hivo ni bila kuharibu uchumi
 
Back
Top Bottom