Hawa watu inataka moyo sana kuishi nao! Yani kimsingi hamna haja ya kushangaa huyo mke jamaa alifosi yeyeBro wangu kakombwa kila kitu na yule aliyemuita mkewe kisa hakijulikani
Harusi ilikua Ni kubwa Tena ya kisabato
Mdogo wake mpaka leo hajaniambia chanzo Cha ndoa yao kuvunjika.
Subiri siku umkute MKEO ndani ya ANFIELD GUEST HOUSE ndani ya TABATA akiwa KITANDANI na MNYONYA LIPSI wa SINZI..!!Hata sujuhi umeandika mavitu gani.
Bwashee, umetumia muda mwingi bure!
If you think SALARY is NOTHING then go and ask the HOMELESS and the JOBLESS.Hela zamshahara ndo ujivunie eti zimemwokoa John
Usijali....Mnaandika maneno mengi mno wengine 2na matatizo ya macho. Andikeni maneno mafupi ilimradi yaeleweke.
Ukiona kuoa tabu basi jaribu hata kuolewa siyo mbaya.
Nakubali wewe ni mwana Liverpool mwenzangu ila unatoa ushauri usio kua na macho wala miguu sasa nisioe au unataka niende Mombasa nikawe shoga au?
Kuna mchumba nampenda ananiomba nikamtolee posa.nifanyaje brother,?Niko njiapanda sana
We mdada punguza roho mbaya...Kwani mkuu wew si ndo unampenda au
Sasa unaomba tu ushauri baada ya kusoma hii thread hiyo ndoa utaiweza kwel?
Kwamba tunajifariji hamtombew*Vijana oeni uhuni hauna faida haya uliyoandika ni maneno ya kujifariji tu.
We mdada punguza roho mbaya...
Yaani bado unamshauri mwenzio aoe.
Kweli WATANZANIA hatupendani.
#YNWA
Mbongo dili la pesa HAKUSHIRIKISHI ila MAJANGA sasa yaaani MweeeeehWatu wanatofautiana mtazamo mkuu
Kama wewe umeona ndoa haifai pambana na hali yako tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mchumba nampenda ananiomba nikamtolee posa.nifanyaje brother,?Niko njiapanda sana