Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

Mnaandika maneno mengi mno wengine 2na matatizo ya macho. Andikeni maneno mafupi ilimradi yaeleweke.
Usijali....
Siku ukimkuta MKEO ndani ya OLD TRAFORD GUEST HOUSE ndani ya MWANANYAMALA akiwa na MNYONYA LIPSI wa TANDIKA ndio utanielewa na kuweza kusoma mpaka kitabu cha page 1000000000

#YNWA
 
Ukiona kuoa tabu basi jaribu hata kuolewa siyo mbaya.

Nakubali wewe ni mwana Liverpool mwenzangu ila unatoa ushauri usio kua na macho wala miguu sasa nisioe au unataka niende Mombasa nikawe shoga au?

Ndugu WATANZANIA wenzangu HEBU TUMIENI AKILI.


Kwahiyo Bill Gate, Benzos, Dangote, Diamond, Kanye West na wotee wenye hela zao ambao HAWAJAOA wamekua MASHOGA.

Braza punguza kukumbatia Shida.

Kamatia kula mbunye sepaaa.

Tafuta pesa ule bata.

Unapajua London, Dubai, Paris, Bangkok hukoo.

Hebu tafuta pesa ukale maisha brazaa.

#YNWA
 
We jamaa utakua una shida mahali alafu unapretend uko sawa. Mwandiko wako tu unasadifu hayo.

Umekua kinara wa kukatisha tamaa watu wasioe..sijui unafaidika na nini kumtumikia shetani.
Mungu akusaidie sana maana seems una changamoto tusiyoijua..
 
Back
Top Bottom