Nikiwaangalia dada zangu walivyo warembooo....dah!

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Aiseee,sijui niseme ni kitu gani chema kipo katika ukoo wetu maana nimebarikiwa kuwa na wadada wazuri mpaka nikiwatazama....dah!

Huwa najiuliza hivi huyo kidume atakae muopoa sister halafu nikasikia amemtenda sijui itakuaje maana kunae chalii mmoja alimletea mashauzi sister angu mmoja tulipiga hadi akalazwa siku tano,,

SASA ATAKAE OA DADA AKAMUACHA ATAJUA KWANINI NI UKOO WA KIRIA. hasa huyu chalii naniiii....tunamuwinda sana
 
Fix [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Niweke mimi hapo nikae kwa dada ako.. Am sure hutojuta kuwa na shem wa ukweli kama mie...
 
Duuuhh kazi kweli kweli.

Shemeji unamtafuta kupitia "ANDIKO" hili!?
 
una haki gani ya kuwagombania dada zako. Sema kama unawataka.
 
watu Mna majibu mabovu nini kosa la mleta Uzi? hivi hujawai kuwaza kitu kama hicho bila kuwaza ngono? acheni Maneno sisi wote ni binadamu kuwaza ni kawaida

mfano unaweza kuwa unatamani mwanaume mrefu gentle ila kila unaekutana nae ndio kama hivyo ila ukiwaza ukoo wenu mijikaka imepanda, body balaa ,ki ubinadamu lazima uwaze binti atakaeolewa kwenu ana bahati. acheni mambo ya kuhusishanisha hili swala na ngono, wewe unaweza kimtamani Dada yako au kaka yako kingono?
 
Sawa kaka wanawake live.

Kama vipi nenda nao wakiolewa ili ukisikia milio usiku ukawaamue.
 
PIC TAFADHALI!! ILI TUMUOMBEE APATE MUME MWEMA
 
Unapoelekea utaibuka na singo "haina udada mnakulaga."

Anyway, kwa ulichoandika inaonekana bado utoto unakusumbua.
Haiwezi kutokea kula dada angu hata kama ni mrembo sana
 
Mkuu weka picha zao tukupe kura kama ni kweli wamesimamia ukucha!!
 
Duh,hivi unaweza kuona urembo wa Dada ako?? Mimi marqfiki zangu ndo walikuwa wanawasifia Dada zangu ila mm sikuwahi kuona uzuri wao,nawaona wa kawaida sana, nilikuwa nawaona wazuri Dada wa wenzangu,nahisi ni kibaiolojia zaidi, sasa ww ushaanza kuthaminisha urembo wa Dada zako ,kuna siku utawachungulia chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…