Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.

Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.

I real don't see ahead without her, romantically speaking.
 
maisha ya mke na mume hayana njia ya namna moja ya kufuata, kwamba yule anaishi vile na mke wake na mimi niishi hivyo ndio nitfnikiwa hapana, au huyu anaishi hivi na mume wake na mimi niige kuishi kwao ndio nifanikiwe hapana.

kila mmoja watu ana namna yake ya kuishi na kufikia kilele cha mafanikio, ila yote fanya zingatia kupuuzia wingi wa vitu katika maisha ya familia, hata kama utamkuta live anatoka na mwanaume mwingine wewe puuza! sure mtashuhudia watoto wa wajukuu wenu.
 
maisha ya mke na mume hayana njia ya namna moja ya kufuata, kwamba yule anaishi vile na mke wake na mimi niishi hivyo ndio nitfnikiwa hapana, au huyu anaishi hivi na mume wake na mimi niige kuishi kwao ndio nifanikiwe hapana...
kuvumilia usaliti hapana, nampenda sana tena sana lakini nimeshamwambia kua kosa moja siwezi samehe ni usaliti. haitakua na maana mana sitakua na uhuru na yeye nikijua tunashare na wahuni.
 
Nothing lasts forever than only God's word.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…