Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.

Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.

I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Ahaaa kumbe ni Romantically thinking
Nikajua ni Realistically thinking
 
"Out of original purpose" shida ujaelewa nimeandika nini, usipokuwa na original purpose ya ndoa, ndoa or anything is difficult.
Original purpose is not the same to everyone
Some marry for sex
some for children
Some for companionship
Others for money
And some mix or both,

May be you are new to the term “ original purpose” go and read again
 
Unaona ulivyo mjinga, original purpose ya ndo inapatikana kwenye:

1. Vitabu vyako vya dini, vitabu vyamo vya dini havijaweka utaratibu wa ndoa? Is that not original purpose?
 
Kuna mzee aliachana na mke wake yeye akiwa na kama 60+ na mke 50+, mpaka mzee anakata moto miaka ya karibu na 70 bado hawakurudiana.

Hizi ndoa jau sana sometimes, ilikua ni ajabu wanandoa wazee kuachana.
Kule upareni kuna waliachana ndoa ina miaka 50. Hizi ndoa bwana. Hawakurudiana mpaka mume amekufa. Jamaa yangu 35 years eti wameachana tena vibaya mno. Jamaa kaharibikiwa maisha yuko upareni anakula kwa dada yake. Ndoa inaweza kukutoa nje ya msitari.
 
Kabisa mkuu, mtu mmoja anakuharibia almost kila kitu. Yeye anadunda tu mjini we unachapika kitaa.
 
Kule upareni kuna waliachana ndoa ina miaka 50. Hizi ndoa bwana. Hawakurudiana mpaka mume amekufa. Jamaa yangu 35 years eti wameachana tena vibaya mno. Jamaa kaharibikiwa maisha yuko upareni anakula kwa dada yake. Ndoa inaweza kukutoa nje ya msitari.
Waligawana mali?
 
Ni matamanio mazuri ambayo yanazungumzwaga na honeymooner pekee(wasio na zaidi ya miaka 5-7) kwenye ndoa,
Mara nyingi visa vya mapenzi anaemhofia mwenzake ndiye huleta shida.
Ondoa negative thoughts kichwani,ishi vizuri na mwenzako na mheshimiane
 
We zombie, haujui?
 
Back
Top Bottom