Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.

Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.

I real don't see ahead without her, romantically speaking.

You are just a Baby, usiharakishe, out of original purpose of marriage, Ndoa ni jambo gumu sana.
 
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.

Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.

I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Na tangu ulipoandika haya ndio mchakato wa ndoa yako kuvunjika umeanza rasmi.

Pole in advance.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mzee aliachana na mke wake yeye akiwa na kama 60+ na mke 50+, mpaka mzee anakata moto miaka ya karibu na 70 bado hawakurudiana.

Hizi ndoa jau sana sometimes, ilikua ni ajabu wanandoa wazee kuachana.
 
Haahahahaha.. wewe ni mwamba na bila shaka hujatumia syllabus ya bongo.
Mkuu wewe jipige pige kifua huku ukicheka kwa dharau
Sure , mpende sana kwa nafasi yake ,ila akizingua , wewe ni bora zaidi kuliko chochote, mwache aende kiroho safi na maisha lazima yasonge.
 
Ujue mimi naipenda sana approach ya jeshi letu TPDF kupambana na adui nje ya mipaka. Akiingia ndani ya mipaka risk ni kubwa sana 😂😂.
Mimi napendelea proxy mode of wars
Apo inategemea una silaha za uzito gani kumfurusha , kama kiintelijensia ndani upo vizuri na una nguvu ya kivita kumfurusha kwa kasi ni rahisi tu .

Pia njia ya kumweka karibu adui yako ni njia nzuri sana ya yeye kushindwa kujiami kwa haraka kwa sababu akili yake inajua amekuwin.
 
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.

Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.

I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Nilidhani wewe ni mwanamke, ashakumu si matusi, haya ni mawazo ya wanawake.
 
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.

Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.

I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Ndoa zinazovunjika ni chache Sana. Dunia nzima kuna familia zinazotokana na ndoa na ni mfumo wa maisha. Hata hawa wanajiita kataa ndoa najua siyo wote ni watoto wa zinaa. Wametoka kwa baba na mama wenye ndoa. Hivyo usisikilize maneno ya vijana wa hovyo.
 
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.

Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.

I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Wewe ni jinsia gani?
 
Msisitize awe anasali na kuwa na hofu ya Mungu. Wewe hata uwe chakalamu, mtatoboa.
 
Back
Top Bottom