Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Haahahahaha.. wewe ni mwamba na bila shaka hujatumia syllabus ya bongo.Vipi kuhusu sisi tunaowaingiza moyoni ila wakizingua tunawatoa kwa kasi ya 5 g mkuu?
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Ujue mimi naipenda sana approach ya jeshi letu TPDF kupambana na adui nje ya mipaka. Akiingia ndani ya mipaka risk ni kubwa sana 😂😂.Vipi kuhusu sisi tunaowaingiza moyoni ila wakizingua tunawatoa kwa kasi ya 5 g mkuu?
Na tangu ulipoandika haya ndio mchakato wa ndoa yako kuvunjika umeanza rasmi.Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Sure , mpende sana kwa nafasi yake ,ila akizingua , wewe ni bora zaidi kuliko chochote, mwache aende kiroho safi na maisha lazima yasonge.Haahahahaha.. wewe ni mwamba na bila shaka hujatumia syllabus ya bongo.
Mkuu wewe jipige pige kifua huku ukicheka kwa dharau
Hakika.Sure , mpende sana kwa nafasi yake ,ila akizingua , wewe ni bora zaidi kuliko chochote, mwache aende kiroho safi na maisha lazima yasonge.
Apo inategemea una silaha za uzito gani kumfurusha , kama kiintelijensia ndani upo vizuri na una nguvu ya kivita kumfurusha kwa kasi ni rahisi tu .Ujue mimi naipenda sana approach ya jeshi letu TPDF kupambana na adui nje ya mipaka. Akiingia ndani ya mipaka risk ni kubwa sana 😂😂.
Mimi napendelea proxy mode of wars
Nilidhani wewe ni mwanamke, ashakumu si matusi, haya ni mawazo ya wanawake.Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Kwahyo umeelewaje ww? Si kashaoa na watoto juuSikiliza Moyo Inaweza Kuwa She Is The One.
Kila La Kheri Mkuu Katika Ndoa Yako Usisikilize Maneno Ya Watu Sikiliza Moyo.
Mkuu Tupe Card Tuje Kulicheza Sebene.
Kwahyo umeelewaje ww? Si kashaoa na watoto juu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe...Leo umepewa popo kanyea mbingu bila shaka
Ndoa zinazovunjika ni chache Sana. Dunia nzima kuna familia zinazotokana na ndoa na ni mfumo wa maisha. Hata hawa wanajiita kataa ndoa najua siyo wote ni watoto wa zinaa. Wametoka kwa baba na mama wenye ndoa. Hivyo usisikilize maneno ya vijana wa hovyo.Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Wewe ni jinsia gani?Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Watu mko negative sana kwakweli, hamuamini katika love.Na tangu ulipoandika haya ndio mchakato wa ndoa yako kuvunjika umeanza rasmi.
Pole in advance.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app