X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
oiiiii nimkute na mwanaume mwingine ohoho mbona hapo hapo nakutema, mm hata ndoa ingefungwa na malaika wakiwepo , siku nikikufuma na mwanaume mwingine tuna separate vizuuuri.maisha ya mke na mume hayana njia ya namna moja ya kufuata, kwamba yule anaishi vile na mke wake na mimi niishi hivyo ndio nitfnikiwa hapana, au huyu anaishi hivi na mume wake na mimi niige kuishi kwao ndio nifanikiwe hapana.
kila mmoja watu ana namna yake ya kuishi na kufikia kilele cha mafanikio, ila yote fanya zingatia kupuuzia wingi wa vitu katika maisha ya familia, hata kama utamkuta live anatoka na mwanaume mwingine wewe puuza! sure mtashuhudia watoto wa wajukuu wenu.
Don't worry mkuu vitu vingi kwenye dunia vinatokea kwasababu ya msukumo wa nje hatuna control navyo we are all creatures and children of environment acquired charactestics and our surroundings saa zingine ni watu wa nje ndio huwa wanachangia mkuu so don't worry just enjoy.Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't see ahead without her, romantically speaking.
Sure bro, i have to live the momentDon't worry mkuu vitu vingi kwenye dunia vinatokea kwasababu ya msukumo wa nje hatuna control navyo we are all creatures and children of environment acquired charactestics and our surroundings saa zingine ni watu wa nje ndio huwa wanachangia mkuu so don't worry just enjoy.