Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Nenda utt weka kwenye mfuko wa liquidy fund unaweza pata kuanzia 70000 mpaka laki na usheee kwa mwezi na hela unaweza kutoa wakati wowote unaotaka ndani ya siku tatu hela inakuwa kwenye akaunti yako, achana na fixed deposity za benk mkui
Mkuu naomba maelezo mahsusi juu ya hili. Na je hao utt hawana utapeli?
 
Nenda utt weka kwenye mfuko wa liquidy fund unaweza pata kuanzia 70000 mpaka laki na usheee kwa mwezi na hela unaweza kutoa wakati wowote unaotaka ndani ya siku tatu hela inakuwa kwenye akaunti yako, achana na fixed deposity za benk mkui
Yani uweke 10 million UTT unipe elfu 70 kwa mwezi? Hadi nimetukana hapa
Biashara ya bra na vyupi inaingiza hiyo pesa ndani ya wiki kwa mtaji wa laki mbili tu *****

Nina biashara ya vinywaji na generate pesa mingi sana na hata sikuanza na laki sita huu mwaka wa pili think think think
 
Mkuu hiyo UTT si ndio inayohusika na manunuzi ya vipande sijui?! Vipi umesema unaweza ipata hela yako ukiihitaji ikiwa ushafanya manunuzi ssa?

Naomba utujuze tusio na elimu nayo
 
Yani uweke 10 million UTT unipe elfu 70 kwa mwezi? Hadi nimetukana hapa
Biashara ya bra na vyupi inaingiza hiyo pesa ndani ya wiki kwa mtaji wa laki mbili tu *****

Nina biashara ya vinywaji na generate pesa mingi sana na hata sikuanza na laki sita huu mwaka wa pili think think think
Mwenzako hataki kufanya biashara anategemea aweke hela baadae atumie kwa matumizi mengine
 
10M bodaboda 4 hapo.
Bodaboda 1 kwa siku 10,000. X 4= 40,000 kwa siku.
40,000 x 30 = 1,2000,000 kwa mwezi.

Hio 1,2000,000 unaweka vijana wa kuuza chipsi kuku kwa siku wakupe 20,000. Kwahio 20,000x30= 600,000.
Bodaboda 1,2000,000 + chipsi kuku 600,000 = 1,8000,000 kwa mwezi.

Unafungua mkahawa
Unafungua wakala wa vinywaji
Unafungua wakala wa mpesa
Unafungua
Unafungua
Unafungua

Usiweke hela bank wakupe faida ndogo tumia akili yako ndogo uweke hela kubwa. Usifanye kazi kwa kupata hela, Bali tumia hela ilete hela.
 
Hakuna biashara mzuri na inalipa kama ya kwenye makaratasi ha ha ha

Yan hapo ni very smooth, sasa nenda kafanye uone balaa lake
 
Yani uweke 10 million UTT unipe elfu 70 kwa mwezi? Hadi nimetukana hapa
Biashara ya bra na vyupi inaingiza hiyo pesa ndani ya wiki kwa mtaji wa laki mbili tu *****

Nina biashara ya vinywaji na generate pesa mingi sana na hata sikuanza na laki sita huu mwaka wa pili think think think
Nielekeze vizuri ndugu yangu
 
Back
Top Bottom