Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Lipo mkuu ongea na watu vizurii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila hizi bhangiiii..eti mil 10 ajenge hostel..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue hadi nmeogopa nikasema hivi me ndio sioni hizi fursa yani nimeenda kutafuta kiwanja cha million 8 huko pori kumbe karibu na vyuo vikuu kuna maeneo ya million 3 tu kwahiyo ningeongeza million 2 tu ningejenga na hostels niwe navuta mpunga tu saa hizi

JF DAH.
 
Kijanaa hajuii hata thamani ya kiwanjaa huyooo akisikia mil 10 anahisii ni helaa flanii ya kufanya maajabuu.
 
Motivation speaker naona uko kazini.
 
Mil 10 unaweka ili iweje? Acha ufala wewe. Hiyo pesa ya kutumia tu kwa week moja unamaliza. Wewe eti ukaweke fixed account ili iweje? Ndo maana mnakuwa maskini tu daily
Umetisha huu ushauri wako.kwamba aache tabia ya kijinga ya kuweka hela fixed? kuna mwamba biblia bibilia inasema yeye alizichimbia chini
 
Hizo ni hesabu tu ila ingiza ela uone zinavyo kataa
 
Pesa za wizi au savings au madili tuu ila ingekuwa ya jasho Wala asingeuliza Cha kuifanyia
 

[emoji23][emoji23][emoji23]sipingi mkuu,nshafanyaga hiyo hesabu nmejionea
 
Millioni kumi. Tafuta chuo kikuu haps dsm chenye demand kubwa ya wanachuo , angalia eneo zuri ununue ujenge vyuumba vya kupsngisha wanachuo
We jamaa hiyo hela ya kujenga chumba kimoja tena kibamba huko au Chalinze.
Umekula?
 
Aiseee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mil 10 mtaji unapata Elfu 88 maana akee ni 3000 kwa sikuu.. kwa mtaji wa mil 10???? Ilaa hata kama ni Uogaa huu umezidii mkuuu... Tokaa kwenye hicho kifungo cha kuogopa kupotezaa helaaaaa...
Anaogopa hela italiwa kimasikara katika uwekezaji wa kibiashara
 
Ukicheki calculator yao riba inasoma 9.5 ila ukienda kuweka unaletewa risiti inasoma 5 au 6 percent… ukilalamika wanakupa semina ooh hii imekosewa mara hii sio riba ya fixed kuna sijui uwekezaji wa maisha , kimsingi maelezo yao hayaeleweki
Hii ni ukweli mkuu na mimi nilideposit 1M nikijua rate ni 9.5% ila nikapewa karatasi et rate ni 3.5% duuh nilichoka. Sikua na matumizi nayo muda ule basi nikaondoka. Nadhani hii issue ya fixed ni biashara ya benki kujipatia pesa za kurun activities na wateja hawaelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…