Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Kuna eneo gani la karibu na chuo utapata kwa hiyo bei?
 
Nimekumbuka kilimo cha tikiti maji. Nao huwa wanachanganua hivi hivi halafu hawaweki changamoto associated
 
Hio huduma ni benki walikaa wakafiri namna ya kujiongezea mapato na mzunguko kwenye utoaji wao wa pesa
Hivyo mteja kama unataka faida kubwa ni jukumu lako na ww kuwaza namna ya kuzungusha pesa uliyonayo ili izalishe zaidi
 
Kuna mzee yeye kaona isiwe tabu, kachukua 100m yake, kaenda BOT(sijajua hasa ni wapi) nadhani kupitia benki yake ya Absa, kanunua bond za serikali kwa miaka 25, anapata 12.35% p/a.

Kila baada ya miezi sita anachukua 6m, anasema hataki kuumiza kichwa...sijui.kama kapatia au vipi ila kwa mtu asiojua biashara za.kukimbizana naona ni sawa tu.
 
Jamaa wakatili sana yani wanachukua 1 M wanakaa nayo mwaka mzima wanakuja kukupa 35,000 SI MCHEZO
 
Ila jamani tupo tofauti mtu milioni kumi uweke bank upewe riba hata haizid laki kwa mwezi....Mimi huyu na bangi zang za chuga kabisa hata nipewe laki kwa milioni mbili sikubali abadani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inategemeana na umri wako , kama bado una nguvu hizo hesabu hazikufai , kwa mstaafu akiweka milioni 100 anapata karibu laki tisa kwa mwezi , ni bora kuliko kuhangaika na biashara kichaa mwisho pesa inapotea
 
Nenda TCB zamani TPB bank, wanatoa 11% annually. Yaani 0.9166 kwa mwezi. Kwa hiyo 10M utapata 91,666 kwa mwezi.
Chagua mwenyewe.
Hiyo 11 % ni per year sio kwa mwezi ok...

Kwa mwezi au miezi aizidi 5
 

Ww ni chizi
 
NMB fixed deposit intest 9.5% , una swali jingine?
Hii ni kwenye matangazo yao tu. Lakini siyo uhalisia kwamba kila amount unayoweka utalipwa hiyo 9.5% . Utapewa interest rate baada ya kufika NMB branch, Watakuuliza ni kiasi gani cha pesa unataka kuweka kwenye fixed, na kwa muda gani. Then wanapiga simu au kutuma email makao yao makuu then unapewa jibu la asilimia ngapi utapewa kwa mwaka. Aliyesema about 6% kwa mwaka hayuko mbali na uhalisia. Mfano ukiweka 150 million kwa mwaka, wanaweza wakakwambia utapata faida ya 7%. Lakini hapo kuna makato yao ya 10% kwenye faida. Kwa hiyo kiuhalisia unaweza kukuta unapata faida ya 6% baada ya makato yao.
 
Na hii UTT liquid fundi? Niliwapigia simu juzi wakaniambia ni 12% kwa mwaka. Sijui na wao wana 10% kama withholding tax?
 
Jinga kweli wewe
 

Huyo ana akili mingi sana. Kwa umri wake hawezi kusimamia wala kubuni biashara yyte ile. Hapo ndo panamfaa. Hamna kelele wala usumbufu wwte
 
[emoji95] Brand New[emoji95]
[emoji617]Nokia 105 original[emoji736]
[emoji617]Batter 1200mAh[emoji736]
[emoji617]Full box[emoji736]
[emoji617] Bei 25000/=rejareja [emoji736]
[emoji617]Jumla 23000/=[emoji736]
[emoji617]No:+255788906890[emoji736]
[emoji95]Mikoani tunatuma[emoji736]
[emoji95] Delivery ipo [emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…