Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi


Harakati haziwez kwisha . kafa big & PAC ila gemu linasonga tu. Ma Babylon wanaforce industry itugeuze . hatuwezi.
 

Very true Mkuu, zamani watu walikuwa wanafanya muziki kwa mapenzi ya kweli sio siku hizi kila mtu akiamka tu anataka kuimba. Pia kutokana na studio kuwa chache ili kupata nafasi ya kurekodi ni lazima uwe na kipaji cha kweli na sio longo longo. Siku hizi kila mtu ana studio chumbani kwake.
 
Sijui unaongrlea mziki upi basi
Endelea kuwasikiliza wakina izzo b wala hukatazwi mkuu

Nasikiliza wote mimi sijifungii kwenye box kusikiliza hip hop au genre fulani tu ya music. Facts zikizingatiwa Izzo B anamchango kwenye game kuliko Huyu muhuni mbishi. Yawezekana Izzo hakazi sana ila at least ngoma zake mbili tatu zilikua gumzo kitaa. Huyu mbishi nani anamjua! Zaidi ya sisi tunaofuatilia zaidi. Ataacha pengo gani whilst hata nafasi Hana.

Watu kama nyie ndio mnapoteza wenzenu mnawapamba wao wanajiona vichwa kumbe Hamna kitu wanafanya.
 
]Behind of scene ya naseeb unaijua [/COLOR]ww au unaropoka tuuu.
tunaona kinachoonekana huo umbeya wa behind the scene hatutaki kujua!shows anazofanya tunaziona na ngoma anazotoa zinajulikana!....nikki hakuwa na mbinu za kufanya game hii ni bora amesanda!nakupa sababu mbili tu ambazo zimemsandisha!kwanza alitaka kujaribu kuuza ngoma zake mkononi akafeli kwasababu hana uhusiano mzuri na mashabiki wengi wa hip hop mtaani na sababu ya ujuaji na kutotaka kujishusha...pili alitamani ngoma zake zipewe airtime ya kutosha redioni (alishindwa kuelewa kama hip hop ya kweli haipo redioni na vilevile alikuwa hana jipya au hana ufundi kuwazidi wanaopewa airtime) ....naamini moyoni mwake atakuwa amejenga chuki aidha na deejay yeyote au radio station yeyote kuichukulia ndo adui wa game lake..................huu ndo ulikuwa muda wa yeye kujifunza kwa kaka zake kina umbwa mzee chindo man au jay moe ambao mpaka leo wapo kwakuwa wanafanya game huku wanapiga mitkasi mingine
 

Kwa hyo una mshauri nn sasa ww kama #MuuzaSura huyu nikkiMbishi......karibu
 
Kufikia kumfananisha izzo b na Nikki duuu sijui mmejifunzia wp mziki
Haya ubarikiwe bwana hipuhopu
 
Me namtambua msanii kwa hits zake hewani , . tena zisiwe za kulalamikikia media kila mara .. toa track za ukweli then media zikubanie uanze kulalamika ...


Ivi wewe ulitaka mbishi aimbeje labda ?
Au awe anavua nguo na kuonyesha matako kama hivi ?



Then unasubilia mpaka ngoma zake zipigwe Redioni hauna ata album moja, utakuta kaona aache muziki bado unamlaumu. Mbishi was Fid Q replacement, those who are mentally fit, may see that.

B.T.W let me end there...
Loosing my balls arguing with ----...
 

Simple .. jamaa yenu ni failure.. !!
 

Atleast hajafikia stage ya kuiba power window kama msanii wa weusi
 
Ninefatilia kwa kina huu mjadala nilikuwa nataka kutochangia ila nimeona sitowatendea haki mashabiki wa damu wa hiphop.

Kifupi ni hivi Niki Mbishi hajawahi baniwa na mtu ila amejibania mwenyewe miaka yote.....Hivyo kutangaza kwake kuacha game ni kitendo cha msingi sana (kama hatafuti kick za kitoto) kwani alikuwa anapoteza muda kwenye muziki coz muziki usingekuja kumlipa kamwe.

Mimi nawashauri na watoto wa Tamaduni wengine wamuunge mkono wafanye ishu nyingine coz mzk washachemsha. Na hii yote kutokana na usela mavi wao na akili za kushikiwa.

Niki kafanya uamuzi wa busara sana, tunawasubiria kina Nash mc, Zaiid, Azma na wahuni wengine wafate mkondo.
 
Sio yeye tu Tamaduni music yote ni failures...na sasa ndio wana njaa mpaka matakoni maana kilingeni wametimuliwa ata buku buku za vocha hawapati.

Duuh and MOST OF THEM WANAIMBA UJINGA NA IMAGINATIONS KIBAO .. afande sele alishasema sio lazima wote tuimbe , wengine wabaki mashabiki (niki mbishi ni shabiki mkubwa wa prof j, heavy weight mc) ana flow verse za jay utadhani kazitunga yeye.
 
Kiuhalisia nikk ana mchango katika gemu ya hiphop kwa kiasi chake so huwezi sema hana mchango labda kwa kuweka felling zako..ila pia nakubaliana na wanaosema ata akiondoka hiphop haifi..but me siombi aondoke aache stress arudi afanye kazi but kama ataamua kuondoka kila la kheri....
Kuna kitu kimoja nshindwaga kuelewa katika hiphop japo kwa kiasi fulani na uelewa nayo . jambo lenyewe ni hivi...kuna marapper ambao huwa wanatajwa hawafanyi real hiphop na naona wametajwa huku huku ndani ya thread mfano FA . FID. lilwyne. Na wengineo. .sasa me nachotaka mnisaidie humu ndani ni kwamba real hiphop ni ipi?emc ni yupi fake emc ni yupi?kwa kutumia mifano halisia inayoonekana bila kuingiza UWEUSI UTAMADUNI UWEST COAST UEASTCOST UWATENGWA AU felling za aina yeyote..naipenda hiphop saana coz is all about amani upendo umoja na ukweli. ...tufunguane kwa hilo aseeh. ..
 
Gwijimimi we una matatzo
Kwahyo afande sele anaimba zouk ,r&b ,rumba au taarabu
We ucjafanye unajua kutetea Sana alafu kichwan zero

Umeweka kejeli na maneno mengi mkuu lkn hujajb swali nililokuuliza
So Afande sele hip hop?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…