NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,804
- 2,482
Tusidanganyane..dunia inabadilika kwa kasi..hasa uku kwetu wazungu wametusoften mind kiasi kwamba vijana ni wachache wanaotaka kusikia nyimbo za kupinga ushoga.uongozi mbaya.usemaji uongo.rushwa ambazo nyimbo hizi kwa 90 percent hufanywa na wanahiphop..na vijana hao hao ambao hawataki izi nyimbo ndo wateja wa music industry..njoo . watu wanataka ngololooo..na miondoko ya kinaijeria...Hivyo mwana hiphop ukighani kwa kuzingatia misingi na nguzo. .ni wazi hautofanana na anaeimba ngololooo kimshiko..
Ukitaka kuhakiki nachokuambia hii thread si ya mbishi hiphop artist ingia thread ya diamond uone kuna comments sio chini ya 100 lakini kwa hapa hatuzidi 20..
Harakati haziwez kwisha . kafa big & PAC ila gemu linasonga tu. Ma Babylon wanaforce industry itugeuze . hatuwezi.