Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Kufikia kumfananisha izzo b na Nikki duuu sijui mmejifunzia wp mziki
Haya ubarikiwe bwana hipuhopu

Hip hop tunaijua na bongo fleva tunaielewa. Usijifanye wewe ndio unaijua sana hip hop, hapa tunamueleza ukweli Huyu jamaa na wenzake wote wa tamaduni. Mbishi atatafuta mchawi nani wakati kajiloga mwenyewe.

Music kama kitu kingine chochote unabadilika, huwezi kuimba vitu hivyo hivyo kila siku beat hiyo hiyo na flow hiyo hiyo na bado watu wakuelewe. Mbaya zaidi huyu jamaa alianza vizuri ila akazidi kuporomoka bila mwenyewe kujua anashuka.

Hajatengeneza soko lake bado anataka asikike Kwa lipi! Kazi kulalamika kama demu. ManSu Li hahit radioni ila hajawahi lalamika na anafanya harakati kivyake nyuma ya pazia.

Hip hop kama aina nyingine ya music lazima uwe na ladha, msikie FidQ akiflow unapata kila kitu unachohitaji Kwa music yani flow, msg na kila kitu sio hawa tamaduni kukaza mashairi huku beat na flow hamna kitu.

Wafikishie salam tamaduni wote waambie kama wanafanya muziki for fan basi sawa waendelee kurapurapu ila wasilalamike kama mademu kama wanafanya mziki ili waingize kipato bora waache maana wanapoteza muda. Huu sio muda wa kumpamba mtu ilhali hakuna kitu anafanya.
 

Kama Hujui Kitu Ni Bora Ukakaa Kinywa USIKUTE NYIE NDIO TEAM WEUSI tu
 

We tunaweza Jaa Moja Tukaongea Unajua!!
 

Hip is the knowledge n hop is the movement, angalia msanii anaespread iyo knowledge katika mitaa ndo utajua huyo ndio mc, mfano nikki wa pili, anaelimisha mitaa juu ya kujiajiri, umuhimu wa elimu na mambo ya madawa ya kulevya, uyo ndo mc, rapper ni kama mr.blue na kina country boy wao ni entertainers.. na kuna wengine wanaitwa losers hehehe hawa ni wale wanaotafta kuonewa huruma na jamii, sympathy seekers mfano ni nikki mbishi na nash mc, hawa utawaona wanavyolaumu media zinawadidimiza na kadhalika, we ni mtu wa aina gani udidimizwe na media zote?? Hawa ndo huanzisha movement zisizoleta improvements.. mpaka saivi utakua umewajua mcz, rappers n losers brother.. losers mfano mzuri ni nikki mbishi, the quiter.. man su lee ana ages kwenye game lakini hajwai kusema anaquit, ye asepe tu, krs one wa mbele hajaquit, aache tu mziki, akaoshe wadada kucha saluni, manicure n pedicure, atafanya vzuri uko
 
What is the knowledge? Msanii aimbe nini ndo tuseme hii ni knowledge na hii sio knowledge? Mr blue kaimba nyimbo na jide (nlishakuwaga na wangu ila alinitesa)apo ajaelimisha? Pia ameimba pesa hajaencourage watu kutafuta pesa? Na msanii anatakiwa tu kila siku aimbe nyimbo za knowlege ndo aitwe emcee?nikk mbishi kaimba ngoma inaitwa kila siku ni ya kuintertain na nikk wa pili nae kaimba niacheni kidogo ameintertain pia...tofauti tuu Mr blue kaimba nyingi za kuintertain. ..
B
Mgumu wa ara...nmekuelewa kwa kiasi fulani but ebu endelea kunifafanulia apo chini nauliza ivi ili nielewe sio kitu kingine arifuu
 
 

So tatizo lako ni tamaduni kukaza?okay basi sawa
Maini Yangu kama hauhusiki nayo usisikilize maana haitakusaidia
 

https://m.youtube.com/watch?v=ggVsdYfegYE
loose yourself inaitwa
Kula burudani hutaki kunya tikiti tumechoka kubishana na msiojua kitu
 

Simple yyte anayefanya mziki handaki/underground hip hop is emc
Mainstream rappaz mostly are fake
 
Kama hamuelew sio mnaropoka tu na nyie muwe mmechangia
Kukaa kimya ni busara zaidi

Wewe unayeelewa si ndio utueleweshe..kinachomtofautisha afande na niki ni nini tueleweshe tusioielewa hiphop,ili tuelewe kwa nini afande hafanyi hiphop na anachoimba tukiite nini....usiwe much know kama Nash mc kujifanya anaijua hiphop kuliko KBC.
 

Nahtaj kujua ugumu wako ni nn hasa
Just be honest tu humpend nikki sababu anavyowachana weusi that's all huna lolote
Kama hujui kitu sio lazima kuongea guys nasisitiza hilo bwana mgumu mavi
 

Giving up ndio sign ya ufakeness na uwaki wa nikki, real hip hop is not about money, saigon mbna anaelimisha jamii hajagive up, hiphop is somethin pipo do with passion, hip hop ni culture sio mziki tu, ni maisha kiujumla ya mtu. Sasa we utakapo give up ulichokua unafanya kisa hakikulipi kwaio ina maana we ni fake, we hukuwa unafanya kwa ajili ya mitaa ulkua una kifanya kwa ajili ya pesa, unaona hiphop hailipi sio kuacha kurap unatfta kazi ingine unaifanya na uku unaendelea kurap, sio kufanya kwajili ya money n fame, real hiphop is for the pipo, we ni voice of the pipo, givin up means kuwasnitch raia, kusnitch fan base yako yote.
 

Aya ara tuachane na nikk mbishi. .tuje kwa nlichoouliza fake na real emcs..how! FA fid lilwyne.izzo ni fake lakini wengine real mnatumia vigezo gan apo
 
Simple yyte anayefanya mziki handaki/underground hip hop is emc
Mainstream rappaz mostly are fake

Gwijimimi unaniacha...who is underground emc's and who is maistream?tunatumia vigezo gan kuwatofautisha? Toa mifano usiogope wataje ili nielewe hiphop is all about truth. ......naomba unielimishe
 
Nahtaj kujua ugumu wako ni nn hasa
Just be honest tu humpend nikki sababu anavyowachana weusi that's all huna lolote
Kama hujui kitu sio lazima kuongea guys nasisitiza hilo bwana mgumu mavi

Ndio simpendi nikki coz sio positive, mtu anaedis kila kitu, he thinks he is perfect while no one is perfect, imagine analine inamdiss hadi rose mhando, kamdis wema, sijui loveness love, he cnt mind his own bizness, sio kuwadiss tu weusi ye anadiss kila kitu, he aint positive, unajua we unafaa kuwa mke wa nikki, u wil b a gud step mother kwa malcolm.. ugumu wangu ni kwamba i only roll wit positive minded ones, the go getters, sio nyie wafuasi wa kufuata watu wanaojiona superiors while they aint shit..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…