mgumu_wa_ara
Member
- Aug 15, 2014
- 43
- 25
gwijimimi acha kuzingua ebu tueleze unachojua wewe kuhusu underground hiphop...Hujui chochote kuhusu hiphop mtoto mdogo tu wewe na watamaduni wenzio.
Yani anadandia dandia tu kila comment na kucriticize, lakn amna analojua.
Enheee sasa umekuja nlipokua napataka..
kwanza kabisa nakujibu navyoelwa undgrnd na mainstream, mainstream emceez ni wale mceez wanaopata kuskika sana kwenye media na undergrnd ni wale wasiopata media attention kubwa..
nakuja sasa kukuuliza kuusu nikki mbishi, tukichukulia mfano wa emceez wa mbele kina mos def, krs one, common hawanganganii hiyo media attention na kuclaim kuacha mziki?? iweje huyu wack kama ni undergrnd kwanin anganganie media attention na pale anapoona hapati promo na kadhalika kwanin aseme anaacha mziki.. mbna mnakua mmefungwa mawazo, nnacho taka kusema kuusu nikki mbishi ni kwamba alkua kati ya mainstream mc'z kipindi anatoa nyimbo za kueleweka lakini baada ya yeye kutokua creative na kadhalika ndo chanzo cha yeye kutopata airtime kwenye media.. he is a broke mainstream rapper
Probably ni kweli hakuna nachojua as u say but umesema hujui chochote kuhusu underground aka mfumo handaki so how the hell can u differentiate btn underground and mainstream?
Nasisitiza tena sio vibaya kujifunza the ego u have inawafanya muendelee Kua maskin Wa fikra kila siku
Dude Nikki is out of your league aiseeEnheee sasa umekuja nlipokua napataka..
kwanza kabisa nakujibu navyoelwa undgrnd na mainstream, mainstream emceez ni wale mceez wanaopata kuskika sana kwenye media na undergrnd ni wale wasiopata media attention kubwa..
nakuja sasa kukuuliza kuusu nikki mbishi, tukichukulia mfano wa emceez wa mbele kina mos def, krs one, common hawanganganii hiyo media attention na kuclaim kuacha mziki?? iweje huyu wack kama ni undergrnd kwanin anganganie media attention na pale anapoona hapati promo na kadhalika kwanin aseme anaacha mziki.. mbna mnakua mmefungwa mawazo, nnacho taka kusema kuusu nikki mbishi ni kwamba alkua kati ya mainstream mc'z kipindi anatoa nyimbo za kueleweka lakini baada ya yeye kutokua creative na kadhalika ndo chanzo cha yeye kutopata airtime kwenye media.. he is a broke mainstream rapper
Huuuh u love his mind??? u better get married to him
gwijimimi acha kuzingua ebu tueleze unachojua wewe kuhusu underground hiphop...Hujui chochote kuhusu hiphop mtoto mdogo tu wewe na watamaduni wenzio.
underground hiphop sio kuchezwa au kutochezwa kwenye media, underground ni aina ya muziki wa hiphop. Krs1 anafanya underground lakini kachezwa sana radio, redman kachezwa sana, Wu tang wamechezwa sana, kendrick lamar, lupe fiasco, camron, juelz santana, common wengi wengi sana wanafanya underground lakini wapo kwenye mainstream.
Kibongobongo Ngosha anafanya underground lakini yupo mainstream.
Dude Nikki is out of your league aisee
Since when Nikki ni mainstream?
Probably u real don't knew the meaning of mainstream
Kupigwa na media ndo kua mainstream?dude plz
Mainstream/underground ni mifumo dude not just kua na airtime aisee
We hujiulizi umesikia nyimbo za Nikki Mara ngap redioni na bado tunakuambia alikua underground?
Listen mbele kuna hadi radio station za hip hop Tupu so airtime is nothing
Skia, u know nothin, and the nothing u know is wrong.. amna kitu unaojua kuusu hii culture, do some research kaa na watu wanajua hip hop, kaa na watu wanaojua somthin about the industry, watu wanaojua kuusu uhusiano wa media na industry ya mziki, before u do anythin, be positive minded.. acha kuangalia kitu na negativity, hii itakuasaidia, ww kupanuka kifikra.. upeo wako wa kufikiri ni mdogo na ni mdogo kutokana umezingirwa na chuki, wivu, superiority complex, u think unajua kumbe huna lolote, husda, unafki, kutokuappreciate, arrogance yani ukitoka huko uje kwenye positivity, njoo kwenye kuwaza maendeleo fikiria nje ya box, fikiria beyond the curtains, i cnt ansa questions directly ni kwajili ya kutokujiamini na kutokujua..
U finally come to your senses but u r missing a point huwez kua underground at the same time upo mainstream dude
Airtime is nothng
I do not miss any point my nigga wewe ndio hupo shallow kuhusu hii kitu...na ndio tatizo lenu tamaduni mlianza kusema eti ata Weusi hawafanyi hiphop hii nikuonesha ni kiasi gani hamjui mnachokisimamia....kwenu mtu akitengeneza pesa kupitia hiphop tayari ni wack na hafanyi hiphop.
Kulikuwa na mjadala siku moja kuhusu hiphop, nilimdharau sana huyu mgoroko zavara wannabe mnamwita nash mc akaanza kumu-attack Kibacha eti hajui hiphop, kisa kusema Weusi wanafanya real hiphop...point yake eti weusi wanaimba mapenzi, I was like dude ! real mcs hawaimbi mapenzi!? so Big sio real? pac sio real? ll cool j sio real? ......Japo hakuwa muwazi lakini point ya msingi alitaka kuonyesha ukitengeneza pesa kupitia hiphop hauwi mc wa kweli na ndio ujinga wa hawa watoto wa tamaduni hawaijui hiphop lakini wanafanya kazi ya kuihubiri.
Skia, u know nothin, and the nothing u know is wrong.. amna kitu unaojua kuusu hii culture, do some research kaa na watu wanajua hip hop, kaa na watu wanaojua somthin about the industry, watu wanaojua kuusu uhusiano wa media na industry ya mziki, before u do anythin, be positive minded.. acha kuangalia kitu na negativity, hii itakuasaidia, ww kupanuka kifikra.. upeo wako wa kufikiri ni mdogo na ni mdogo kutokana umezingirwa na chuki, wivu, superiority complex, u think unajua kumbe huna lolote, husda, unafki, kutokuappreciate, arrogance yani ukitoka huko uje kwenye positivity, njoo kwenye kuwaza maendeleo fikiria nje ya box, fikiria beyond the curtains, i cnt ansa questions directly ni kwajili ya kutokujiamini na kutokujua..
Nikki is out of my league ndio coz am way too fly.. cnt lizen to his crappy music full of hatrade n jelousy. U cnt beat them, join them.. sio kujenga chuki dhidi ya watu
Da! Mkal w freestyle namkubal sana huyu mshkaj
Sasa mkuje muanze kumtetea nikki, vitu ambavyo kashindwa kujitetea redioni
anapewa nafasi anaongea misemo na kuzunguka tu
Sasa hapa uta staajabishwa na watu wake wakija..