I do not miss any point my nigga wewe ndio hupo shallow kuhusu hii kitu...na ndio tatizo lenu tamaduni mlianza kusema eti ata Weusi hawafanyi hiphop hii nikuonesha ni kiasi gani hamjui mnachokisimamia....kwenu mtu akitengeneza pesa kupitia hiphop tayari ni wack na hafanyi hiphop.
Kulikuwa na mjadala siku moja kuhusu hiphop, nilimdharau sana huyu mgoroko zavara wannabe mnamwita nash mc akaanza kumu-attack Kibacha eti hajui hiphop, kisa kusema Weusi wanafanya real hiphop...point yake eti weusi wanaimba mapenzi, I was like dude ! real mcs hawaimbi mapenzi!? so Big sio real? pac sio real? ll cool j sio real? ......Japo hakuwa muwazi lakini point ya msingi alitaka kuonyesha ukitengeneza pesa kupitia hiphop hauwi mc wa kweli na ndio ujinga wa hawa watoto wa tamaduni hawaijui hiphop lakini wanafanya kazi ya kuihubiri.
Dude unanisikitisha kuniita Mimi shallow wakat Maelezo yako yanathibitisha uko shallow
Anyway with below QN ntakuthibitishia how much uko shallow on this
1-unajua aina za uandishi Wa hiphop?let's assume unajua niambie hao mafifty cent Wa arusha wanafit kwenye uandishi gani
2nd-" kwenu mtu akitengeneza pesa kupitia hiphop tayari ni wack na hafanyi hiphop. ">>do u remember cassidy?do u knw how much hi is worth?
Do u knw Marley mall(producer wa hip hop lives)?do u knew how much he is worth?
Do u knw how mos def is worth?
But when was the last time u heard cassidy au mos def kwenye radio zenu hzo?
If they r not mainstream how do they make money?
Ni kasumba yenu tu ndo inazingua kwamba mtu akiwa na hela anakua sio hiphop what a shame dude
Am pretty sure u knew 50 after in da club joint but do u knw 50 had albums before?do u knw how much he made back in days?
U don't sababu mawazo na maisha yako ni mainstream ndo maana una kasumba kama hzo
U talking about weusi na unasema we unajua hiphop?wat ashamed dude
Hao copycat sio watu Wa kuwaongelea kwenye thread kama hzi aisee
Watu wenyewe hawajui hata freestyle n u call them emcs?u must be fu.cking kidding
Wanakopi kuanzia biti hadi flow orijinality yao iko wp sasa?
3rd thing
R we talking about tamaduni musik au Nikki?
Plus how come una include tamaduni?
4,th let's talk about Nash
Kuimba mapenz sio ishu ila unaimbaje?
Umetoa mifano ya mbali wakina big 2pac mos def n the alike but hujasema hayo mapenz wanaimbaje they do not cross the line that's the point dude
Besides hata Nash ana nyimbo za mapenz lakini anaimbaje(sikiliza nyimbo ya Nikki mbishi inaitwa michepuko )
Kuwapenda weusi au sijui tamaduni isiwe tabu ya kupotosha watu
Besides tamaduni sio kundi ni cipher(kilinge) so kama unajua maana ya kilinge cha hip hop utajua maana yake
U call nasha zavara wannabe kisa he has movements?duu aisee
Mi nadhan tufunge Huu mjadala endelea kuwasikiliza weusi nn mzuka