Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Baba malcom daaaa ila nasikia alifuta tweets alizoandika MO11
Bora aache kwani mziki wake haukui uko palepale..baadhi ya fans wake wanamtia ujinga na kujiona bonge la mwanamuziki na kuwavimbia hata kaka zake. .huyu hajaacha mziki ila mziki umemuacha yeye
nahisi unaijua nymbo moja tu ya nikki mbishi
Leo kila nikisoma post zake naona kama anatania tu
mara ya kwanza anapanda stejini ilikuwa fiesta anapewa shavu na chidi wa ilala mbeya hii huko alikuwa anasoma chuo
kila siku alikuwa anawakuta watu wana battle freestyles akawa anasimama anawaskiliza weee halafua anatikisa kichwa anaondoka
siku wakampa nafasi alichowafanya wakawa wakimuona wanabadilisha mada kutoka kuimba na kufanya kitu kingine
wakati anapanda show ya mbeya kwa mara ya kwanza alikuwa hana hata nyimbo alikuwa anafreestyle tu
ndipo akawa anashiriki freestyle battle za clouds akachukua laki laki na nusu
alipopotea ilikuwa coco mashindano ya freestyles tatu bora ilikuwa
Nikki mbishi kipindi hicho amesuka halafu anavuta kishenzi
Kuna godzila huyu alikuwa mweusi halafu anatisha ndio sababu ya kujiita godzila siku hizi anang'aa kidogo
Wa mwisho lusajo huyu alikuwa konda wa daladala alikuwa watu wakishuka anawachana kwa vina vya kuimba
Mwisho anabaki lusajo na nikki mbishi ila lusajo anakuwa bingwa anamchana nikki mbishi hadi aibu niliona mimi
ila kaliacha game mapema sana nikki kama fan wake namba moja nimeshangas sana sana
Mmmh huyu mi hata nyimbo zake sizijui nasikiaga jina tu!!
Kuhusu game ya bongo na wasanii wa bongo niache kama nilivyo...kwanza tambua mwanahip hop haachi utamaduni. ..pili tambua nikki hajapitia hustle za mziki aulize kaka zake,yeye game kaanza juzi tu..anatafuta attention tu!
Umekurupuka mkuu.
Nikki Mbishi album - Sauti ya Jogoo
juzi lini unajua kwamba huyu jamaa kipindi cha mwanzo alikuwa anaflow kama chidi benz ??
unajua kwamba alikuwa la familia ?
unajua ametumia nguvu kubwa kuisimamisha lunduno na tamaduni muzik
au unataka naye ashinde mlangoni kwa p funk ndio ujue ame hustle ??
acha kukariri
Hiyo sauti ya jogoo si unaisikilizaga wewe na mvuta bangi mwenzio geto? Nani anaijua? Mnaijua wenyewe na bangi zenu

Naamini haujui chochote kuhusu huu muziki na ni ruhusa ukinitukana,hauwezi kumtaja Nikki Mbishi kwenye hustle za kuuweka muziki huu kwenye ramani eti kisa lunduno ni UPUUZI uliopotiliza kama vipi kaulize alafu uje upya mimi najitolea kukufundisha BURE ila jua Nikki ni mwepesi kuliko neno mwepesi lenyewe.
Alafu jua uyo Chid Benz ni binti kama ma-binti wengine tukizungumzia utamaduni huu na La Familia sio kitu cha kukijadili kwenye utamaduni.