Sasa na wewe mtu anamuiga chid benz unamuita wa kitambo? Yaani la familia imekua ya kitambo? Hujielewi wewe nenda kalale
Naamini haujui chochote kuhusu huu muziki na ni ruhusa ukinitukana,hauwezi kumtaja Nikki Mbishi kwenye hustle za kuuweka muziki huu kwenye ramani eti kisa lunduno ni UPUUZI uliopotiliza kama vipi kaulize alafu uje upya mimi najitolea kukufundisha BURE ila jua Nikki ni mwepesi kuliko neno mwepesi lenyewe.
Alafu jua uyo Chid Benz ni binti kama ma-binti wengine tukizungumzia utamaduni huu na La Familia sio kitu cha kukijadili kwenye utamaduni.
nikki mbishi ana umri gani unajua ?
la familia ipo tangu lini ?
unajua kabla ya kujiita chidi benzi alikua anajiita nani??
Unaijua nyimbo ya kwanza ya chidi benz katoa lini au unafikiri dsm stand up ndio ya kwanza ??

nikki mbishi ni mdogo kiumri ulitaka ahustle mwaka gani ??
ameahustle kutokana na umri wake
nikki mbishi nuksi waulize wasanii wako wakubwa wakutajie top five ya wasanii wakali wa hip hop at this time ukimkosa nikki mbishi
Kuhusu game ya bongo na wasanii wa bongo niache kama nilivyo...kwanza tambua mwanahip hop haachi utamaduni. ..pili tambua nikki hajapitia hustle za mziki aulize kaka zake,yeye game kaanza juzi tu..anatafuta attention tu!
Aliacha sugu mwenye album 10 akarudi tena sembuse huyo mbisha ambaye hana hata album moja.
Nikki ni kati ya wasanii wachache sana ambao wanajua kama alivyo.huyu jamaa anajua mziki sijaona.ila ufirauni unaofanywa na hawa wanajiita godfather wa bongo music ndo wanofanya kipaji chake kionekane sawa na wanaojiita wasanii huku hawajui lolote.tutakosa radha ya muziki aliotuzoesha kama kweli ameacha.
Nazani unachokizungumzia hukielewi..
Kutengeneza album ni uamuzi wa msanii na anajua yeye ataiuza vipi..
Ukichukua nyimbo za mbishi zote unaweza tengeneza album zaidi ata ya kumi na moja...
Labda uzungumzie swala lingine ila sio wingi wa nyimbo.. Mbishi ana nyimbo nyingi sana.
After play boy swahiba angu Nikki Mbishi hajafanya joint ambayo ina kila kitu(beats,lyrics,style n flow) uku kwingine alikua ana panic sana mfn sauti ya jogoo ilikua na message tight ila mdundo na flow hapana.
Wishin' him ol the best kwenye kila anachoenda kufanya baada kuacha muziki though kukimbia harakati ni sehemu ya uwoga ambao sipendi kuusikia kabisa maana kaka zake wangekua wepesi kusanda asingekuta misingi hii iliopo.
Bora aache kwani mziki wake haukui uko palepale..baadhi ya fans wake wanamtia ujinga na kujiona bonge la mwanamuziki na kuwavimbia hata kaka zake. .huyu hajaacha mziki ila mziki umemuacha yeye
Leo kila nikisoma post zake naona kama anatania tu
mara ya kwanza anapanda stejini ilikuwa fiesta anapewa shavu na chidi wa ilala mbeya hii huko alikuwa anasoma chuo
kila siku alikuwa anawakuta watu wana battle freestyles akawa anasimama anawaskiliza weee halafua anatikisa kichwa anaondoka
siku wakampa nafasi alichowafanya wakawa wakimuona wanabadilisha mada kutoka kuimba na kufanya kitu kingine
wakati anapanda show ya mbeya kwa mara ya kwanza alikuwa hana hata nyimbo alikuwa anafreestyle tu
ndipo akawa anashiriki freestyle battle za clouds akachukua laki laki na nusu
alipopotea ilikuwa coco mashindano ya freestyles tatu bora ilikuwa
Nikki mbishi kipindi hicho amesuka halafu anavuta kishenzi
Kuna godzila huyu alikuwa mweusi halafu anatisha ndio sababu ya kujiita godzila siku hizi anang'aa kidogo
Wa mwisho lusajo huyu alikuwa konda wa daladala alikuwa watu wakishuka anawachana kwa vina vya kuimba
Mwisho anabaki lusajo na nikki mbishi ila lusajo anakuwa bingwa anamchana nikki mbishi hadi aibu niliona mimi
ila kaliacha game mapema sana nikki kama fan wake namba moja nimeshangas sana sana
Kuhusu game ya bongo na wasanii wa bongo niache kama nilivyo...kwanza tambua mwanahip hop haachi utamaduni. ..pili tambua nikki hajapitia hustle za mziki aulize kaka zake,yeye game kaanza juzi tu..anatafuta attention tu!
if u can't beat them join them
Cuzzo mi nakuunga mkono kua mwanaharakati hawezi sanda kiboya kama yeye alafu amekuta wendawazimu wameweka misingi ya huu muziki kwa tabia ya kuzira kama zake leo kusingekua na hii bongo fleva alafu kiroho safi hana mchango wowote kwenye industry kiasi kwamba tukasema tutamkumbuka.
Acha aende hakuna PENGO.
Aliacha sugu mwenye album 10 akarudi tena sembuse huyo mbisha ambaye hana hata album moja.
nikki mbishi ana umri gani unajua ?
la familia ipo tangu lini ?
unajua kabla ya kujiita chidi benzi alikua anajiita nani??
Unaijua nyimbo ya kwanza ya chidi benz katoa lini au unafikiri dsm stand up ndio ya kwanza ??
Huyu ni nani tena jamani?
Bora aache kwani mziki wake haukui uko palepale..baadhi ya fans wake wanamtia ujinga na kujiona bonge la mwanamuziki na kuwavimbia hata kaka zake. .huyu hajaacha mziki ila mziki umemuacha yeye