Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Sasa na wewe mtu anamuiga chid benz unamuita wa kitambo? Yaani la familia imekua ya kitambo? Hujielewi wewe nenda kalale

nikki mbishi ana umri gani unajua ?
la familia ipo tangu lini ?
unajua kabla ya kujiita chidi benzi alikua anajiita nani??
Unaijua nyimbo ya kwanza ya chidi benz katoa lini au unafikiri dsm stand up ndio ya kwanza ??
 
Naamini haujui chochote kuhusu huu muziki na ni ruhusa ukinitukana,hauwezi kumtaja Nikki Mbishi kwenye hustle za kuuweka muziki huu kwenye ramani eti kisa lunduno ni UPUUZI uliopotiliza kama vipi kaulize alafu uje upya mimi najitolea kukufundisha BURE ila jua Nikki ni mwepesi kuliko neno mwepesi lenyewe.
Alafu jua uyo Chid Benz ni binti kama ma-binti wengine tukizungumzia utamaduni huu na La Familia sio kitu cha kukijadili kwenye utamaduni.

Kuna siku Joh Makini na Nikki Mbishi walikuwa wote studio Cloudz, mtangazaji (sikumbuki alikuwa nani) akawaambia kila mmoja afreestyle, akaanza Nikki Mbishi kafreestyle kinoma, ikaja zamu ya Joh Makini akaanza oh leo sijisikii vizuri, ooh siko katika mood ya kuchana teh teh teh wote huo woga maana kakutana na kichwa!
 
nikki mbishi ana umri gani unajua ?
la familia ipo tangu lini ?
unajua kabla ya kujiita chidi benzi alikua anajiita nani??
Unaijua nyimbo ya kwanza ya chidi benz katoa lini au unafikiri dsm stand up ndio ya kwanza ??

Chiddi Benzino lol
 
nikki mbishi ana umri gani unajua ?
la familia ipo tangu lini ?
unajua kabla ya kujiita chidi benzi alikua anajiita nani??
Unaijua nyimbo ya kwanza ya chidi benz katoa lini au unafikiri dsm stand up ndio ya kwanza ??

Field marshal nawachek mp vitani……

huyu jamaaa ni miongon mwa watu wenye uthubutu wa kusimamia mising yao na si kupelekwa na mabadiliko ya game...ila angeendleea kuwepo lundun ilikuw inawanya vizur..
 
nikki mbishi ni mdogo kiumri ulitaka ahustle mwaka gani ??
ameahustle kutokana na umri wake
nikki mbishi nuksi waulize wasanii wako wakubwa wakutajie top five ya wasanii wakali wa hip hop at this time ukimkosa nikki mbishi

kiongozi
Roho 7 ivi alienda wapi ?
 
Kuhusu game ya bongo na wasanii wa bongo niache kama nilivyo...kwanza tambua mwanahip hop haachi utamaduni. ..pili tambua nikki hajapitia hustle za mziki aulize kaka zake,yeye game kaanza juzi tu..anatafuta attention tu!

hemed PhD na wewe ni wa hip hop? by the way Nikki anapo amua kususa mziki kisa tu harakati zake hazikubaliki huo ni uchanga na kukosa msimamo wa kihiphop,awaulize wakina saigon,balozi,sosB wamepitia njia ngumu zenye kila aina ya vikwazo but hawa kususa mziki mpk leo niki anapata jina ana takiwa ajue ni njia zilizo chongwa kwa mikono ya kaka zake je wangesusa na wao leo nani ange mjua nikki?....asilete umama, anatakiwa akomae kuikomboa hiphop na sio kukimbia harakati. ana jiita "mbishi" kumbe nyoronyoro tu.
 
Nikki ni kati ya wasanii wachache sana ambao wanajua kama alivyo.huyu jamaa anajua mziki sijaona.ila ufirauni unaofanywa na hawa wanajiita godfather wa bongo music ndo wanofanya kipaji chake kionekane sawa na wanaojiita wasanii huku hawajui lolote.tutakosa radha ya muziki aliotuzoesha kama kweli ameacha.

Natoka tanzania tz bongo nchi amboyo viongozi wana CV za uongo-niki mbishi(sijui tutapata wp HV vitu)
 
Nazani unachokizungumzia hukielewi..
Kutengeneza album ni uamuzi wa msanii na anajua yeye ataiuza vipi..
Ukichukua nyimbo za mbishi zote unaweza tengeneza album zaidi ata ya kumi na moja...
Labda uzungumzie swala lingine ila sio wingi wa nyimbo.. Mbishi ana nyimbo nyingi sana.

Achana na hawa much know
Kama MTU hajui kitu si anakula kimya aaah
 
After play boy swahiba angu Nikki Mbishi hajafanya joint ambayo ina kila kitu(beats,lyrics,style n flow) uku kwingine alikua ana panic sana mfn sauti ya jogoo ilikua na message tight ila mdundo na flow hapana.
Wishin' him ol the best kwenye kila anachoenda kufanya baada kuacha muziki though kukimbia harakati ni sehemu ya uwoga ambao sipendi kuusikia kabisa maana kaka zake wangekua wepesi kusanda asingekuta misingi hii iliopo.

I bet u never knew Nikki kama no hvyo
U never bought any mix tape from him neither his songs
Sikiliza natoka Tanzania au tafuta the last mixtape ndo utamwelewa nikki
 
Bora aache kwani mziki wake haukui uko palepale..baadhi ya fans wake wanamtia ujinga na kujiona bonge la mwanamuziki na kuwavimbia hata kaka zake. .huyu hajaacha mziki ila mziki umemuacha yeye

Mnaofuatilia mziki kwenye media MNA matatizo sana aisee
 
Leo kila nikisoma post zake naona kama anatania tu

mara ya kwanza anapanda stejini ilikuwa fiesta anapewa shavu na chidi wa ilala mbeya hii huko alikuwa anasoma chuo
kila siku alikuwa anawakuta watu wana battle freestyles akawa anasimama anawaskiliza weee halafua anatikisa kichwa anaondoka
siku wakampa nafasi alichowafanya wakawa wakimuona wanabadilisha mada kutoka kuimba na kufanya kitu kingine

wakati anapanda show ya mbeya kwa mara ya kwanza alikuwa hana hata nyimbo alikuwa anafreestyle tu
ndipo akawa anashiriki freestyle battle za clouds akachukua laki laki na nusu

alipopotea ilikuwa coco mashindano ya freestyles tatu bora ilikuwa
Nikki mbishi kipindi hicho amesuka halafu anavuta kishenzi
Kuna godzila huyu alikuwa mweusi halafu anatisha ndio sababu ya kujiita godzila siku hizi anang'aa kidogo
Wa mwisho lusajo huyu alikuwa konda wa daladala alikuwa watu wakishuka anawachana kwa vina vya kuimba

Mwisho anabaki lusajo na nikki mbishi ila lusajo anakuwa bingwa anamchana nikki mbishi hadi aibu niliona mimi

ila kaliacha game mapema sana nikki kama fan wake namba moja nimeshangas sana sana

At least ww u one nikki
Haya majitu yanayoropok topoka yanakera sana kama hilo #muuzasura hata ukimuuliza maana ya freestyle hajui halaf snajifanya anajua mziki
 
Kuhusu game ya bongo na wasanii wa bongo niache kama nilivyo...kwanza tambua mwanahip hop haachi utamaduni. ..pili tambua nikki hajapitia hustle za mziki aulize kaka zake,yeye game kaanza juzi tu..anatafuta attention tu!

Unajua nn kuhusu hustle za muziki jamaa au unatafuta attention tu?watu inatuuama tutakosa radha za maana we unaropoka tu manina kauze sura ukimaliza uza hadi mwili pambaaf
 
Cuzzo mi nakuunga mkono kua mwanaharakati hawezi sanda kiboya kama yeye alafu amekuta wendawazimu wameweka misingi ya huu muziki kwa tabia ya kuzira kama zake leo kusingekua na hii bongo fleva alafu kiroho safi hana mchango wowote kwenye industry kiasi kwamba tukasema tutamkumbuka.
Acha aende hakuna PENGO.

Kutomjua haimaanishi.hana mchango
 
nikki mbishi ana umri gani unajua ?
la familia ipo tangu lini ?
unajua kabla ya kujiita chidi benzi alikua anajiita nani??
Unaijua nyimbo ya kwanza ya chidi benz katoa lini au unafikiri dsm stand up ndio ya kwanza ??

Temana nao hawajui chochote wanatopoka tu
 
Bora aache kwani mziki wake haukui uko palepale..baadhi ya fans wake wanamtia ujinga na kujiona bonge la mwanamuziki na kuwavimbia hata kaka zake. .huyu hajaacha mziki ila mziki umemuacha yeye

Una facts zozote wewe mpaka poda na shabiki mkubwa wa khadija kopa mbona yu mnafk ivyo umewai kusikia anacho rap huyu jamaa au umekurupushwa na maumiv ya panya road....Tulia sio kila sehem u can reply ur shit.
 
Back
Top Bottom