KoreaKaskazini
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 219
- 51
Cuzzo mi nakuunga mkono kua mwanaharakati hawezi sanda kiboya kama yeye alafu amekuta wendawazimu wameweka misingi ya huu muziki kwa tabia ya kuzira kama zake leo kusingekua na hii bongo fleva alafu kiroho safi hana mchango wowote kwenye industry kiasi kwamba tukasema tutamkumbuka.
Acha aende hakuna PENGO.
nikki mbishi ni mdogo kiumri ulitaka ahustle mwaka gani ??
ameahustle kutokana na umri wake
nikki mbishi nuksi waulize wasanii wako wakubwa wakutajie top five ya wasanii wakali wa hip hop at this time ukimkosa nikki mbishi najiondoa jamiiforums
jamaa kaimba kila aina ya jambo usimlinganishe na akina sugu waliompita umri wa zaidi ya miaka 10 guy be serious
nikki nuksi kuanzia kuandika hadi kuflow wale wanaojiita weusi hata kumuimba wanamuogopa
-sauti ya jogoo
-nyakati za mashaka
-play boy
-kijusi
-au
hebu tafuta hizi nyimbo
usikie jinsi mtu anavyoimba hakuna kama huyu at this time
Mi muziki naufuatilia na sio kuufuatilia tu,naujua!
Sidhani kwa kizazi chetu cha sasa hapa Tanzania ukitaka kuzungumzia wana-hip hop wanaofanya vizuri kwenye "top five",huwezi kuacha kutaja jina la Nikki Mbishi.
Tuache chuki binafsi,kama mtu humpendi tu 'personal',usichanganye na kazi zake anazofanya.
Mi napenda kumshauri tu,ajaribu kukaa chini na kufikiri mara mbili juu ya uamuzi wake huo.Changamoto zipo,hupaswi kuzikimbia bali kukabiliana nazo!
Kwa Taarifa yako siku ya kwanza NikkiMbishi ameingia kwny studio za mawingu tu face to face na msagaji fetty kama unakumbuka freestyle season vs Godzilla fatma hassan a.k.a Dj wako fetty alishoboka laivu kwa huyo playboy ila nikki akachomoa
Tuliosoma Mbeya Universty of science and Technology tunamjua vzur huyu mtu lecturer mkuu mwenyewe ali salute kwa huyu baba malcom sembuse ww member wa jf....usikurupe tulia fatilia comments
juzi lini unajua kwamba huyu jamaa kipindi cha mwanzo alikuwa anaflow kama chidi benz ??
unajua kwamba alikuwa la familia ?
unajua ametumia nguvu kubwa kuisimamisha lunduno na tamaduni muzik
au unataka naye ashinde mlangoni kwa p funk ndio ujue ame hustle ??
acha kukariri
I bet u never knew Nikki kama no hvyo
U never bought any mix tape from him neither his songs
Sikiliza natoka Tanzania au tafuta the last mixtape ndo utamwelewa nikki
Kipindi hicho wanagombania laki moja kila wiki anabeba nikki tu hawa watoto wanashinda kwenye vigodoro tu wanajifanya wana hip hop
Kuna watu wao ni wauza sura ila wanaongelea hip hop watu walikuwa wanaacha kurap wakimuona nikki mbishi anakuja huyu wa kuitwa chindo nahis unamjua kipindi hicho nikki mibangi
Tatizo watu humu wanapenda sana kujionesha kuwa wao wako next level ili hali hatujuani.Sasa huyo na kingereza chake at the end anaumbuka
Huwezi kufanya game kwa kupanic halafu game ikakubumia usiache kusanda. .haya ni matokeo ya game kumbumia!alianza beef na nikki wa pili matokeo yake kupitia mgongo wa weusi nikki wa pili akatoboa yeye kabaki palepale. .akamdandia ney wa mitego mpaka akamchana ney wa mitego mwisho wa siku ney wa mitego akatusua mpaka leo ney wa mitego oya oya!nyie msifieni wakati mixtapes zake hamnunui. .haya ndo matokeo mziki umemuacha mnabaki kusifia ujinga
Alikuwa anawaburuza maamuma wa hip hop ndo maana alivyokutana na magwiji kasanda
Alikuwa anawaburuza maamuma wa hip hop ndo maana alivyokutana na magwiji kasanda
dah mshikaji namkubali sana