Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

We jamaa ni mshamba sana humu ndani unajifanya unajua kila kitu kumbe amnazo sasa kama mziki anaofanya haujulikani kvp ww leo uanze kumzungumzia piga kmya watu watoe comments zao "hip hop ni utulivu huwezi fatilia taarabu

Tukubaliane katika kutokukubaliana,sio kila mtu aseme unavyotaka wewe,mie kama mie simkubali kabisa huyo nikki mpishi wenu,that's that sh*t,ndio kama Chinga boy alivyosema mmeanza kufuatilia hip hop wakati kina wiz khalifa na young killer wanaanza mziki na kujifanya mnajua sana,sijaanza kufuatilia mziki era hii yenu ambao mnaoona nikki mbishi naye mwana hiphop ha ha ha ha manaoanza kumjua Jose mtambo kwenye track za roma "Wakati wa kujilinda sasa utakoma utaenya na kithaa thaaa"
 
Last edited by a moderator:
Huyu ---- n boya 2 anayesoma headings na kuandika kwenye media it's obvious ushabk wa Kipuuz n 2 tell u nikki mbishi Ana albm 2 saut ya jogoo n malcom xi

Hata awe na Album 100 still ni wannabe emcee sio conscious rapper.
 
Nikki mbishi wereva u r ryt now, skia hii.. hip hop ilkuepo before u, hop hop wil be there after u, haujatuongezea, haujatupunguzia, u aint no hip hop messiah, u cnt beat them join them, u want us to worship ur a$
s?? utakaa hapo usubirie, mbna weusi wapo mbali na wanafanya hiyo hiyo hip hop, u lazy ass nikkaaah stop being a cry baby, unataka public sympathy tukuonee huruma?? ur musik gat no taste brother, unavyo flow wewe ndo sawa anavyo flow one the incredible, that sh*t is borin son, change the flow, change the content of ur songs, mm sjui unaimba mziki ili wakuskilize machalii wa msasani pekee yao?? make ur music universal, kila mtu askilize, stop trippin kiddo, wake ur ass up n hustle.. weusi wamefika hapo walipo bila kumlilia mtu yeyote kwenye social network.. if u cant beat them join them, imbeciel.. GROW, LEARN AND EVOLVE..

A-city is in the house, am out
 

Ungekua unajua maana ya hip hop hata usingeongeo utumbo kama uliouandika
Eti mbona weusi wanafanya hip hop hyohyo what the hell?like seriously?do u think kila anayerap anafanya hipohop?do u even knw aina ya uandoshi?eti Nikki na one wanafanana uandishi we jamaa mweupe kweli aisee
Kwanza kosa la Nikki ni nn?kutangaza kwamba anaacha mziki?kwani ukitangaza unaacha kazi tatizo nn?tatizo la vizazi vya supra ndo hili mnajifanya mnajua sana ukiambiwa utaje wasanii wahiphop utasema Joe makini
Yaaan natamani hata kukutukani can't lie
 
Gwiji ulitaka nkutaje wewe?? hip hop sio kurap anavyo rap nikki mpishi tu, open ur mind, tukutana nkuoneshe matusi.. fid q ana miaka mingap haja give up, losers always fall back, afu wanakuja na excuses au anatafta mtu wakumblame, kipi nmekosea, nmekosea kusema afanye mziki wake universal, acha kumpumbaza, we ni soro nin, anatakiwa huo mziki anaofanya aufanye upendwe, imagine ni watu wangap wamesema hawamjui, eti kizaz cha supra, we kizaz cha nin miti shamba, stfu. Skia aache mziki tu, kwanza nothin kitapungua, amna pengo, its like he has never been thea.. usiangalie kwa chuki, chuki, wivu na husda.. ndo kilichopo kwenye iyo roho yako nyeusi
 

HV ni lazima kila MTU amjue?what for?
Besides Maelezo yako tu yanaonesha kiasi gani hujui what hip hop is
For your info did q is a copycat rapa ungekua unafuatilia muziki Wa hiphoo ungejua kiasi gani anakopi line za watu
Umekosea nn?sababu hujui unamponda Nikki kwa kosa gan
Let me ask u Nikki kakosea nn kutangaza kuacha mziki?
We shabiki Wa weusi endelea kushabikia weusi wako hao wanaokopi wakina miki mill so u knew nothing about underground musik just stay about the fu.ck out aisee plz
Endelea na wakina fifteen cent Wa r chuga nn fresh masuala ya kuongelea vitu usivyovijua that disrespectful aisee
 
Hahah eti vitu nsivovijua, najua hip hop kushinda navyojua kitu chochote.. gwiji embu fungua akili yako, mm nnachotaka mtu afanye ni afanye mziki unaokidhi mahitaji. Hip hop is about givin knowledge to the streets, ufikishaji wa knowledge hiyo katika jamii ya kizazi ichi cha mwaka 2014/15 sio sawa na ufkishaji wa knowledge ulotumika mwaka 1997o, things change brother, no nid to fight, we nid to change, nikki wa pili umeskiliza mziki wake?? umesikia content ya anachokiimba, umeona anavyoelimisha jamii, skiliza staki kazi au bei ya mkaa, ni nyimbo ambazo kila mtu anaeza akaskiliza, lakn nyimbo kama kijusi, that song has the most boring chorus ever, b.malcom kuquit ni vizuri, anagive space kwa rappers wengine kuwepo.. nikki altakiwa awe na akili za maendeleo sio akili za majungu, akili za maendeleo ni kama zipi? ni kama kuufanya mziki wake usikilizwe, awe international, hajui kula na vipofu?? fake it till u make it, gwiji najua unanielewa vzuri tatizo unataka tu ni kwamba sjui unajuana kitambo na nikki, about fid being a copy cat, everyone knowz that, he aint even in my top five ya mcz wa bongo.
 

Dude kuniambia tu hao wakina miki mill wazee Wa gere wanafanya hiphop nshakushusha thamani aisee
U listen to rappz not MCs
Watu ambao hata hawafuati missing ya uandishi
They got no metaphors
No double/triple entrande and u call them mcs?
Ushauri wa bure sikiliza mixtapes and not albums kama unataka kujua hiphop otherwise hutamwelewa mtu kama nikki kamwe
Muchas gracias amigo!!!
 
Gwiji ur so yesterday, ur still livin in the past, u nid to grow n learn then evolve.. dunia ina sogea haraka sana, na imeshakuacha. Sio kila aliopo mainstream ni rapper, mainstream ina mcz pia, usimchukie mtu kisa umeshindwa kua kama yeye..
Kula mtakula wapi na weusi wameshika menu.. buenos noches
 

Duuu kazi IPO
Na mkiambiwa hamjui kitu mnasema tunawatukana ona sasa u base on mainstream n u keep backing like u knew hip hop
What ashamed dude
 
Na wewe kama unamuona nikki mbishi ni underground, u nid to go church uombewe then uje class nkufundishe the dfrnc btn mainstream n underground.. nikki mbishi sio underground, he is just a broke mainstream rapper whose soul is full of envy, jelousy, lust n hypocrisy.. rakim wanna be but the truth is he is not far from lil wayne, he is wack.. skia nikki mbishi sio underground ni msanii mkubwa asiekua na hela.. am sorry, no offense. Hiphop industry ya bongo ina maskini wengi wenye majina makubwa.. underground kwa bongo labda kama ungekua umetokea arusha ningekutajia mtu kama raf mc ivi, lakn kwa ulipotoka siju bro
 

Yule jamaa wa hip hop arusha spark dog hivi yupo?
 
Alishaimba Madee hip hop kibongobongo bora ukauze ndumu.
 

Duuu aisee Leo nimeamini"always wasiojua ndo hutunisha vifua kama batamzinga''
Haya kila la Kheri ndugu Yangu
But this statement shows how ignorant u r" rakim wanna be but the truth is he is not far from lil wayne, he is wack.. " am sure u knew nothing about Rakim Allah neither to underground muzik
 
Huyu ---- n boya 2 anayesoma headings na kuandika kwenye media it's obvious ushabk wa Kipuuz n 2 tell u nikki mbishi Ana albm 2 saut ya jogoo n malcom xi

Add to that.
MALCOM XI sio album ni Kanda Mseto "MIXTAPE"
 

Ndio nikki ni wack tu kama lil wayne, hata nani akirudi aezi kua kama rakim
 
naskia kuliwa tigo hata kwa wanaume kwenye kutafuta promo ya muziki ni kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…