Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
We jamaa ni mshamba sana humu ndani unajifanya unajua kila kitu kumbe amnazo sasa kama mziki anaofanya haujulikani kvp ww leo uanze kumzungumzia piga kmya watu watoe comments zao "hip hop ni utulivu huwezi fatilia taarabu
Tukubaliane katika kutokukubaliana,sio kila mtu aseme unavyotaka wewe,mie kama mie simkubali kabisa huyo nikki mpishi wenu,that's that sh*t,ndio kama Chinga boy alivyosema mmeanza kufuatilia hip hop wakati kina wiz khalifa na young killer wanaanza mziki na kujifanya mnajua sana,sijaanza kufuatilia mziki era hii yenu ambao mnaoona nikki mbishi naye mwana hiphop ha ha ha ha manaoanza kumjua Jose mtambo kwenye track za roma "Wakati wa kujilinda sasa utakoma utaenya na kithaa thaaa"
Last edited by a moderator: