Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Tuache tu unafki .. ukitaja wasanii 50 wa mziki tanzania na nick mbishi utamuweka ? big No, huyo jamaa mziki anaupenda ila haumpendi.. muimba mziki anatakiwa atoe hits watu waamue.. mziki mzuri huwa unajiuza mwenyewe hili soko huria bhana huyo jamaa aache uongo
 

True dat mwana. .hata katika huu uzi ni watu wawili sijui watatu ndo wanajitutumua kumfanya jamaa anajua. ..katika game ya bongo nikki ni hakuwepo
 
Ni mara chache sana JF kukuta forum ina discussion kuhusu Hip Hop toka bandiko limewekwa nimesoma kila comment kwa umakini,kuna vitu nimegundua:-
1.Wengi hatuijui Hip Hop kabisa nadhani hata misingi yake hatujui nadhani tunahitaji darasa huru maana tunaamini kwenye utamaduni ambao hatuujui kabisa.
2.Bandiko limekaa vizuri ila uchangiaji uko kishabiki 100% wale wanaompenda Nikki hawataki kuangalia upande wa pili na wale wasiompenda Nikki hawataki kujua mazuri ya Nikki.
3.kuna upande unaoamini kwenye old skool na upande unaoamini kwenye Hip Hop new Era ambayo ni ngumu sana kuigundua hasa wanapofanya midundo flani migumu.
Mtazamo wangu binafsi kuhusu Nikki Mbishi,nimemsikiliza sana joint zake honestly kuna kitu anafanya na hata mwanzo kwenye michango yangu nimesema makosa yake ni nini,bado naamini Nikki hajaacha alama kwenye utamaduni huu hata kama akiondoka sioni sehemu ambayo tutaita pengo maana bado alikua na safari ndefu ya kuji-establish kwenye industry ili awe icon kwanza ili kesho asipokuewepo kwa namna yoyote tuione ile absence yake,Nikki ki-ukweli anapenda kufanya vitu kama America mfn creating stunts(childish one),beef sizizo na msingi,kujikuza na stuff kama izo anaishi ki-50 cent au The Game wakati bado hatujafika uko na mashabiki wamechangia kum-stress dogo akaiona kesho yake kabla hajaifiki.
Kwenye Hip Hop mtu akisanda tu hata kama aliishi kwenye huu utamaduni miaka 100 basi ni MPUUZI maana hauwezi kuacha maisha yako halisi unless alikua anaigiza mwanzoni how come Nikki ana kipaji cha ku-rap then aseme sintoingia studio tena WTF kuna wahuni kibao hawana albamu,hawana muda na media zenu za kibwege wanafanya mixtape kuelimisha mitaa,hawa akina Nikki wanaotaka Hip Hop iwaletee mademu,magari na majumba walikosea sana kuja huku wangeenda kule bongo fleva wakakate mauno,kaka zake wangekua wanalilia kama yeye sidhani angekuta studio kama uyoga na watoto kama yeye wasingetamani kuishi kwenye utamaduni huu,Nikki ni sympathy seeker anachotaka watu wamuombe arudi apate attention kama ambavyo kwenye page yake ya IG anavyofanya kwa ku-screen shot waliosema akina Prof J,Chid etc tuone umuhimu wake anatakiwa akue kuzira akizoe maisha yatambana atamkataa hata Malcom kisa hawafanani ndevu.
 

baba umesema yote.. apa naona kama namuona vile nikki anavyo enjoy akiona anazungumziwa ivi, anapenda kweli kuongelewa, the other time alisemaga he is hiv positive, watu wakaongelea buh mpaka sasa washasahau
 


WaTZ mtu mpaka anyoe viduku ndo awe msanii mnae mtambua.

True dat mwana. .hata katika huu uzi ni watu wawili sijui watatu ndo wanajitutumua kumfanya jamaa anajua. ..katika game ya bongo nikki ni hakuwepo
 

Kuna watu sijui MNA maboga kichwani
Ts simple u Nikki hana mchango
Nikki hana pengo atakaloacha kwenye game
Sasa katangaza kustaaf tatizo nn si mfurahie mbn mnaanza kumponda?kosa lake nn si kaamua yeye au?
Ni lazima aendelee kuingia studio?
Besides utamaduni Wa hip hop una vitu vingi zaidi ya just rapping so kama hamjui just kuleni kimya na muendelee kuwasikiliza wakina lil Wayne wenu
 
baba umesema yote.. apa naona kama namuona vile nikki anavyo enjoy akiona anazungumziwa ivi, anapenda kweli kuongelewa, the other time alisemaga he is hiv positive, watu wakaongelea buh mpaka sasa washasahau

Sababu he always ahead
Anatumiaga lugha ya picha
Msiojua kutafsiri ndo mnajifanya mnajua
 
True dat mwana. .hata katika huu uzi ni watu wawili sijui watatu ndo wanajitutumua kumfanya jamaa anajua. ..katika game ya bongo nikki ni hakuwepo

Now nimrelewa hamjui mnachoongelea endeleeni kuuza sura mkimaliza uzeni mpaka mwili
Hamjui chchte mmekaa kuropoka
 
Hakuna anaemsikiliza Huyu muhuni hivyo anaweza kuacha na hakuna ataemkosa.
 
Jaji mahakamani nawapa hukumu ya kifo/na humu ndo nyumbani ntapodumu mpaka mwisho......Nikki Mbishi Robocop
 
Jaji mahakamani nawapa hukumu ya kifo/na humu ndo nyumbani ntapodumu mpaka mwisho......Nikki Mbishi Robocop

Mwaga pesa mbele ya counter/
Bila presha mbele ya bamsa.
 
Mwaga pesa mbele ya counter/
Bila presha mbele ya bamsa.

Mbishi bongo fever mikosi
Mc mwenye amnesia sikiliza Dada diva the boss
Sina noma na MTU mwenye noma nami aseme
Tukae tuyaweke sawa ili tuingize mapene
Wala sio day dream
Uwe underground mpaka mainstream
Mungu wangu no zaid ya the bodyguard from beijing

Mitaa imebeba itemi Wa jela
Mbemba box njoo upakue semi trela
 
WaTZ mtu mpaka anyoe viduku ndo awe msanii mnae mtambua.

Me namtambua msanii kwa hits zake hewani , . tena zisiwe za kulalamikikia media kila mara .. toa track za ukweli then media zikubanie uanze kulalamika ...
 

Waliozoea laini mistari ka hii lazima iwachubue. Na ndio maana wanaishia kudis. Hata vitabu vimeandika watasikia wengi, ila wataelewa wachache. Ngoja andiko litimie.
 

Unakataa nikki wa pili afanyi hip hop ?
Hivi we ni member wa Tamaduni
 
Aache tu kwan vp, mtu gani hataki kupanuka, hataki kuendelea, anafkiri kuimba kila siku kilingeni ndo atatoka, yeye kwake kila mtu mbaya, aachane tu na mziki, kaishiwa vya kuandika, waganga njaa ndo wanaokesha kwa waganga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…