Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

Ukiniambia SOS B,Nigga Jay wa HBC(Sio Prof Jay Solo),Mr II,Dogo Hasheem nitakuelewa lakini hao wanna b emcees sinaga habari
Kwa maana iyo artist ili umfuatilie lazima atoke mbali?rap ya kipindi cha fleva in eya CRAIG MAG . BIG L. DILLA. OUTLAWZ. NAS WA ILLMATIC.GURU WA FULL CLIP. DAS EFX NA BAKNEFFEK ilikuwa hiphop but haina maana et emcs wanaanza gemu sasa hivi et hawafanyi hiphop so hatupaswi kuwafuatilia. Kwanza AFRIKA BAMBATAA alitoa misingi mitano leo hii imeongezwa imekuwa tisa (imeboreshwa).so kigezo cha kuwajua artist wa zamani kisikufanye usikilize ril hiphop ya leo..kumbuka fasihi ina change . kumbuka pia Mr 2 wa bongo darreslam sio wa juzi wa hayakuwa mapenzi..

Kwa wanaojifanya wanajua hiphop kwa kuwajua kina lilwyne na young killer mwenyewe nawasorora tuu. ..
 
Hip means to know,Hop is a form of movement
Hip and hop is more than music
Hip is the knowledge, hop is the movement
Hip and hop is intelligent movement

KRS-1 Hip hop Lives
 
sa unajishaua nini ku8muongelea mtu usiyemjua
ili uonekane much knw au?mijitu mingine banja aaah

Shut your mouth, listen close, weh we come fi do.,anayejishaua huyo emcee wenu anatishia kuacha mziki wakati hata huo mziki anaoufanya haujulikani.
 
Shut your mouth, listen close, weh we come fi do.,anayejishaua huyo emcee wenu anatishia kuacha mziki wakati hata huo mziki anaoufanya haujulikani.
muziki anaoufanya haujulikani kwako sasa unamuongelea nn wakat humjui?
what da f.uck do u think you are?
plus nani kakuambia anajishaua?ulimuweka kwenye game ww?
u dont listen to him u ont buy his mixtape neither his albums unachojishaua hapa ni nn sasa?au nye.ge tu?what a shame mwanaume kujishebendua
acha kusaka umaarufu mavi aisee sio lazima kiumjua wala kumuongelea infact sio lazimka kucomment manina
 
Acha matusi wewe,sio kila mtu amfagilie huyo msanii wenu,kama mnamafagilie ni nyinyi tu,usiwalazimishe watu wamkubali kwa nguvu,Kumtomkubali msanii ndio kusaka umaarufu? umaarufu gani sasa? wa JF wa Fake ID?
 
Hip means to know,Hop is a form of movement
Hip and hop is more than music
Hip is the knowledge, hop is the movement
Hip and hop is intelligent movement

KRS-1 Hip hop Lives

Yeah. ..krs one na marl marley enzi izo Amalinze kweli upoo. .but Amalinze mimi kwa hapa tz kidogo ukitaja real hiphop mbishi alikuwa anaelekea achana na mambo mambo yake mengine. .but jamaa alikuwa anajitahidi..kinachoniuma amekosa msimamo tuuu!.kina krs one now wamestop kuimba wanaactivist masuala ya kijamii . kina immortal hiphop haiwalipi kivile but wanazidi present ghero residents.
But coolio alisemaga
Money in th power
Power in the money. ..
 
Acha matusi wewe,sio kila mtu amfagilie huyo msanii wenu,kama mnamafagilie ni nyinyi tu,usiwalazimishe watu wamkubali kwa nguvu,Kumtomkubali msanii ndio kusaka umaarufu? umaarufu gani sasa? wa JF wa Fake ID?
naona ushapat mtindio wa ubongo sasa unaropoka
1st nani kalazimishwa amkubali niki?
2nd kuna ulazima gani wa kumfagilia mtui hata humjui?ulimbukeni huo
3rd sa haumkubali vp wakat hata humjui?huu u-much knw shida sana aisee
use your common sense dude kama humjui utamkubali au kumkataa vp?mbn huelewi jamaaa
hv kuna ulazima gani wa kucomment either way kuponda au kusifia wakat hata humjui?
 
Yeah. ..krs one na marl marley enzi izo Amalinze kweli upoo. .but Amalinze mimi kwa hapa tz kidogo ukitaja real hiphop mbishi alikuwa anaelekea achana na mambo mambo yake mengine. .but jamaa alikuwa anajitahidi..kinachoniuma amekosa msimamo tuuu!.kina krs one now wamestop kuimba wanaactivist masuala ya kijamii . kina immortal hiphop haiwalipi kivile but wanazidi present ghero residents.
But coolio alisemaga
Money in th power
Power in the money. ..
nadhan mkuu mnazile za kumezeshwa aliyesema hiphop haiwalipi nani?
how can u do ziara ya nchi hata kumi halaf haikulipi?
cheki imortal technique huyu huyu mnaemuongelea ratiba yake ya tour mwaka juz
immortal technique tour dates 2015 -

Sawa gwijimimi. .mimi skatai 100 percent kwamba hiphop hailipi but kiuhalisia tuache ushabiki ukiwa unafanya real hiphop ya kufuata misingi..mfano usiwe mtu wa kuyumbishwa na media..au wa kuendeshwa na mamanager. .na kufuata utamaduni wa kuongea truth..kiuhalisia utakuwa unapata pesa za kawaida tofauti na wenzako ambao wanafanya whk hiphop game..mifano tunayo hapa bongo. .au hata mbele chukua mapato anayopata immortal.diabolic.gza.krs one.rakim.kane alafu ulinganishe na ya watoto walioanza gemu ya wanayoiita swagga hiphop vijana wa leo.liliwayne.minaj.drake.fifty.kid ink na wengine.
Tunaposema wanahiphop hawapati mapato yenye malipo tunalinganisha wanachofanya kwa community na out come wanayoipata.mfano mzuri nikk ana album 3 jogoo. malcom x na mbishi..but bado haijampay kama inavyostahili...
 
naona ushapat mtindio wa ubongo sasa unaropoka
1st nani kalazimishwa amkubali niki?
2nd kuna ulazima gani wa kumfagilia mtui hata humjui?ulimbukeni huo
3rd sa haumkubali vp wakat hata humjui?huu umuch knw shida sana aisee
use your ommon sense dude kama humjui utamkubali au kumkataa vp?mbn huelewi jamaaa
hv kuna ulazima gani wa kucomment either way kuponda au kusifia wakat hata humjui?

We bwa mdogo mbona umeng'ang'ania umuch know tu,kwani umuch know gani niliouonyesha? Nigga Pls.
 
nadhan mkuu mnazile za kumezeshwa aliyesema hiphop haiwalipi nani?
how can u do ziara ya nchi hata kumi halaf haikulipi?
cheki imortal technique huyu huyu mnaemuongelea ratiba yake ya tour mwaka juz
immortal technique tour dates 2015 -

Tusidanganyane..dunia inabadilika kwa kasi..hasa uku kwetu wazungu wametusoften mind kiasi kwamba vijana ni wachache wanaotaka kusikia nyimbo za kupinga ushoga.uongozi mbaya.usemaji uongo.rushwa ambazo nyimbo hizi kwa 90 percent hufanywa na wanahiphop..na vijana hao hao ambao hawataki izi nyimbo ndo wateja wa music industry..njoo . watu wanataka ngololooo..na miondoko ya kinaijeria...Hivyo mwana hiphop ukighani kwa kuzingatia misingi na nguzo. .ni wazi hautofanana na anaeimba ngololooo kimshiko..
Ukitaka kuhakiki nachokuambia hii thread si ya mbishi hiphop artist ingia thread ya diamond uone kuna comments sio chini ya 100 lakini kwa hapa hatuzidi 20..
 
Nikki ni Sean price wanna be ila yeye Nikki alitegemea media imtoe tofauti na mjomba Sean na kina immortal wanachokifanya. .hip hop ya bongo ukitegemea media lazma usande!Nikki wala wenzake wa tamaduni hawana nguvu hata ya kujaza sitting room wakiandaa show ya elfu kumi....hawako orgsnised na mbaya zaidi wanajitia kuvimbia baadhi ya radio stations huku wanazitamani
 
Hip hop kupitia nguzo yake ya Mcee ina circle yake kua lazima ianzie hood iende studio na irudi hood ikiwa target ya kuamsha fikra za watu wa mtaa wajitambue hapa nazungumzia wanaoishi kwenye huu utamaduni hasa sio hawa fake Mcee ambao wanataka utamaduni uwape magari,mkate mezani na wanawake mjue Hip Hop ni maisha halisi ya mtu vile unaamka na unaporudi kulala kama utamaduni unagusa maisha ya mtu moja kwa moja vile unavaa,kula,unaongea(mitazamo chanya) nk.
Boya mmoja anaejifanya Mcee wa kweli alafu anakurupuka eti i'm quitin' cuz Hip Hop hailipi anabaki kua boya kuna wanaharakati kibao ndani na nje ya nchi wanafanya hustle toka tangu na tangu hawana kelele za kike kama za uyu Nikki eti naacha muziki pamoja na udogo wake kwenye industry ila kuna wadogo zaidi yake wanaomtazama yeye ili wajifunze leo unasanda unatoa picha gani,he's full of bullshit anaowasema leo ndio waliomtoa kule mchangani na kumfanya awe Nikki ukweli unabaki ameji-stress mwenyewe kwa kupanic na beef zisizo na msingi mara agombee jina mara am-diss Ney and blah blah kama hizo mbona joint zake ambazo amekaza zilipata air time kwa nini ghafla tu apotee.
Inabaki kua Hip Hop ni utamaduni mpana sana kuliko watu wanavyodhani ni zaidi ya elimu ya darasani kama umepata baraka za kujua ku-rap jua wewe ni mwalimu wa mtaa kufundisha hood niggaz wabaki kwenye mstari mnyoofu sasa unapolalama kuacha jiulize nani atawafundisha hawa wavuta unga waachane na pipes+white stone,makahaba,majambazi nk.
Nikki Mbishi anapenda attention sana amekua aki-create stunts kibao mtaani ili asimame juu anasahau kua jukumu lake ni nini,bila kuangalia ayo mnayo sema ili ku-justify kujua kwake inabaki kua AMESANDA na sio mbishi tena na bora aende huu utamaduni hautaki wapuuzi wanaokimbia mstari wa mbele.
Quiters never WIN and Winners never Quit.
 
Sawa gwijimimi. .mimi skatai 100 percent kwamba hiphop hailipi but kiuhalisia tuache ushabiki ukiwa unafanya real hiphop ya kufuata misingi..mfano usiwe mtu wa kuyumbishwa na media..au wa kuendeshwa na mamanager. .na kufuata utamaduni wa kuongea truth..kiuhalisia utakuwa unapata pesa za kawaida tofauti na wenzako ambao wanafanya whk hiphop game..mifano tunayo hapa bongo. .au hata mbele chukua mapato anayopata immortal.diabolic.gza.krs one.rakim.kane alafu ulinganishe na ya watoto walioanza gemu ya wanayoiita swagga hiphop vijana wa leo.liliwayne.minaj.drake.fifty.kid ink na wengine.
Tunaposema wanahiphop hawapati mapato yenye malipo tunalinganisha wanachofanya kwa community na out come wanayoipata.mfano mzuri nikk ana album 3 jogoo. malcom x na mbishi..but bado haijampay kama inavyostahili...
nakubaliana na ww mkuu 100% ya unachokisema nakubali
besides kama umeisikiliza hyo audio ya immortal technics (inaitwa message and the money) ndo hicho hicho alichozungumzia thats y kaponda sana sana magazeti na media
i recommend you listen to that shit again very muhim kwa wasanii wetu they7 have to stop being commodity-https://www.youtube.com/watch?v=JP3LK1rnY_4
 
Back
Top Bottom