iyo nyimbo ya zamani sana afu ilikua sio dis kwa wakazi tu ata neema alihusika ila walishayamaliza
Mbona kitambo Sana hyo Ngoma walizinguana kisha wakayamaliza Ni kama miaka minne iliyopita hivi hata wakazi nae alimjibu Nikki mbishi
Kajitahidi jamaaaOhh sijawahi usikia nilidhani ni wimbo mpya cause upo kwenye album yake mpya nikahisi ni ishu ya hivi karibuni. Anyhow, album ya Sam Magoli nzuri.
Mkuu Bufa nini maana ya neno "word to the mutha"Nasikiliza album mpya ya Nikki Mbishi titled Sam Magoli, kwenye hii album kuna ngoma inaitwa Where my crown at inayoonekana ni direct dis kwa Wakazi, kwa fan yeyote hahitaji kutumia nguvu kung'amua kwamba anayedisiwa ni Wakazi. Ni lini hawa jamaa wameanza kuwa na tofauti na nini chanzo cha tofauti hizo maana walikua tight kinoma hapo awali na ni miezi michache tu imepita toka watoe ile ngoma yao ya pamoja inayoitwa kanda maalum.
Itakuwa alikurupuka kuacha,hakuwa na mipango mizuri.Ila Nikki nae Mara naacha mziki [emoji23][emoji23] kususia tumbo yataka moyo
mkuu nitumie bas hiyo album#sam magoli#maana hata nikki mwenyew anasema ana album za kina jigga ila syo kwamb zote kanunua #nimeisaka kinyamaHapana mkuu nimenunua na sio punde nimetoka kununa album ya Stereo Singasinga African Son, tunasapotiana kwa kichache tulichonacho, kama unakubali sanaa ya mtu ni vyema kuisapoti.
haha mkuu kwani unayo hard copy au soft copy yake ?Mimi nibaki na nini mkuu!
dah bas sawa mkuu ila kuna namna tunaweza fanyaHard copy chief.
haha hilo nalielewa ndugu nimenunua album za nikki tangu kitambo ndugu yngu i can say hii ya sam magoli ndo sina#sauti ya jogoo#ila so case mkuuHehehe sapoti hip hop mkuu machizi wanawekeza muda, pesa na ubunifu bado tunawayeyusha kununua kwa 10k tu Tena nasikia sasa ni 7k. Wasapoti mkuu wanauza soft copy pia