Nikki Mbishi vs Wakazi

Nikki Mbishi vs Wakazi

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
12,599
Reaction score
26,263
Nasikiliza album mpya ya Nikki Mbishi titled Sam Magoli, kwenye hii album kuna ngoma inaitwa Where my crown at inayoonekana ni direct dis kwa Wakazi, kwa fan yeyote hahitaji kutumia nguvu kung'amua kwamba anayedisiwa ni Wakazi. Ni lini hawa jamaa wameanza kuwa na tofauti na nini chanzo cha tofauti hizo maana walikua tight kinoma hapo awali na ni miezi michache tu imepita toka watoe ile ngoma yao ya pamoja inayoitwa kanda maalum.
 
Mbona kitambo Sana hyo Ngoma walizinguana kisha wakayamaliza Ni kama miaka minne iliyopita hivi hata wakazi nae alimjibu Nikki mbishi
 
iyo nyimbo ya zamani sana afu ilikua sio dis kwa wakazi tu ata neema alihusika ila walishayamaliza
 
Ohh sijawahi usikia nilidhani ni wimbo mpya cause upo kwenye album yake mpya nikahisi ni ishu ya hivi karibuni. Anyhow, album ya Sam Magoli nzuri.
 
Hiyo ngoma ya 2014, na wali
shayamaliza,wakazi nae alitoa controversy Nikki ndo akamjibu na where my crown at,bufa wewe Ni mnugu hahaha nadhani utakuwa unawajua wakina Sean price,EPMD,Mobb Deep n.k
 
Nasikiliza album mpya ya Nikki Mbishi titled Sam Magoli, kwenye hii album kuna ngoma inaitwa Where my crown at inayoonekana ni direct dis kwa Wakazi, kwa fan yeyote hahitaji kutumia nguvu kung'amua kwamba anayedisiwa ni Wakazi. Ni lini hawa jamaa wameanza kuwa na tofauti na nini chanzo cha tofauti hizo maana walikua tight kinoma hapo awali na ni miezi michache tu imepita toka watoe ile ngoma yao ya pamoja inayoitwa kanda maalum.
Mkuu Bufa nini maana ya neno "word to the mutha"
 
Hapana mkuu nimenunua na sio punde nimetoka kununa album ya Stereo Singasinga African Son, tunasapotiana kwa kichache tulichonacho, kama unakubali sanaa ya mtu ni vyema kuisapoti.
mkuu nitumie bas hiyo album#sam magoli#maana hata nikki mwenyew anasema ana album za kina jigga ila syo kwamb zote kanunua #nimeisaka kinyama
 
Mimi nibaki na nini mkuu!
mkuu nitumie bas hiyo album#sam magoli#maana hata nikki mwenyew anasema ana album za kina jigga ila syo kwamb zote kanunua #nimeisaka kinyama
 
Hehehe sapoti hip hop mkuu machizi wanawekeza muda, pesa na ubunifu bado tunawayeyusha kununua kwa 10k tu Tena nasikia sasa ni 7k. Wasapoti mkuu wanauza soft copy pia
dah bas sawa mkuu ila kuna namna tunaweza fanya
 
Hehehe sapoti hip hop mkuu machizi wanawekeza muda, pesa na ubunifu bado tunawayeyusha kununua kwa 10k tu Tena nasikia sasa ni 7k. Wasapoti mkuu wanauza soft copy pia
haha hilo nalielewa ndugu nimenunua album za nikki tangu kitambo ndugu yngu i can say hii ya sam magoli ndo sina#sauti ya jogoo#ila so case mkuu
 
Nikki anajua sana huyu jamaa, ni msanii kweli kweli hata akidiss anadisskwa mashairi kweli kweli sio maneno tu

Wakazi huwa simuelewi kabisaa sisiklizi ngoma yake yoyote labda kwa bahati mbaya tu
 
Back
Top Bottom