Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Nasikiliza album mpya ya Nikki Mbishi titled Sam Magoli, kwenye hii album kuna ngoma inaitwa Where my crown at inayoonekana ni direct dis kwa Wakazi, kwa fan yeyote hahitaji kutumia nguvu kung'amua kwamba anayedisiwa ni Wakazi. Ni lini hawa jamaa wameanza kuwa na tofauti na nini chanzo cha tofauti hizo maana walikua tight kinoma hapo awali na ni miezi michache tu imepita toka watoe ile ngoma yao ya pamoja inayoitwa kanda maalum.