Nikki Mbishi was underrated kumlinganisha na Nikki wa Pili

Nilikuwa fan wake ...tatzo la mbishi ni usera mavi,kutukana kila mtu,kutukana mashabiki,media, na wasanii ,....**** sana yule dgo....now namskilza dizasta.
 
Asee umeyumba sana chaliangu wa Chelsea. Ama ni vyenye wa pili anatokea chuga ukaleta undugu
Sijayumba sana chali wangu ..uyo mbishii nakubali yuko njema ila ngoma zake nyingi ni majungu, Ku diss watu wa media na malalamiko kibao. Ila ndugu etu Wa Pili chali wa home kabisa ..yeye hana makuu yeye anafanya mziki kuwabirudisha wengi na ni msomi, maarifa mengi nini..
Unajua nini...
"Fanya mziki ambao utapendwa zaidi na mademu na wengine wengi kama mimi, wewe ..achana na kuwaimbia machizi(masela) maana hawatonunua kazi zako."
 
Verse

Nikki mbishi A.K.A baba maliki Mc mwenye ukata na dhiki nawachapa na nawachana hawa maRAP wa week wanaodai wanaFLOw chafu zisizotakata kwa JIKi Minachana hata kama siskiki Sister Du badili mikao ili ule fao la mzizi

Zohan
 
Hardcore hip hop haina kubembelezana ipo real Nikki wa pili anaimba ngojera sio hip hop
 
Kumbukumbu makumbusho unaweza niita hifadhi kuu
Maktaba mwalimu dazbaba pablo Escobar wa rap na pap ngada

Unju bin Unuk

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Usiogope we jiachie unaroll na kingkilla,
It's gettin hot in here take off Ur chinchilla,
Today is a good day nna stand Ka gorilla
Nigga get off my way ni ya mbishi sio Godzilla.....

(Nikki mbishi- kila siku) one of my favourite songs[emoji91][emoji91]
 
Watu wanadhani hip hop ni kukaza sura na kutukana mwisho wa siku mpunga ndo kila kitu. Wapili ana ubongo mbishi ana moshi. MITIZAMO HUTOFAUTIANA.NA KUNA MUDA MKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA.
 
Watu wanadhani hip hop ni kukaza sura na kutukana mwisho wa siku mpunga ndo kila kitu. Wapili ana ubongo mbishi ana moshi. MITIZAMO HUTOFAUTIANA.NA KUNA MUDA MKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA.
Huyo jamaa mnamuhype kinyama au kisa kapata uDC ? [emoji23]. Kuna watu Wana akili na wasomi Ila wapo low key kina wakazi, mbishi naye pia, mwanaFA , Uno , mex Cortez and so on
 
Siupingi uwezo wa unjuuu ila Kuna siku nilishangaa Sana baada ya malalakiko kua mengi kua jamaa anabaniwa kina weusi wanapendelewa kupewa shows unju akabahatika kuitwa kwenye show za wasafi festival Kama sikosei ni shinyanga kiukweli aibu niliona Mimi maana jamaa alikua anajiimbia mwenyewe mashabiki hawajui nyimbo zake kuficha aibu akaanza kufreestyle za uwongo na kweli kuua msala nikaja nikacheki shows za weusi fiesta akiwepo Niki wa pilii mikoani dooh majamaaa walikua wanaaamsha na Kijiji chote maraia wanajua nyimbo zao karibia zote

Sasa hapa nikaja nikawaza ukali wa mtu unapimwa vipi yani?
 
Niletee apa ngoma zake zikiwa high quality kabisa nijikumbushe kwanza
 
Sasa mtu ameenda kumsikiliza zuchu anakutana Na Niki mbishi ataelewa Kweli? Hip hop Ni mziki wa wanaume lakini ngonjera Za Niki wa pili,bongo fleva Na taarabu Ni muziki ya wanawake Na mashago
 
Sasa mtu ameenda kumsikiliza zuchu anakutana Na Niki mbishi ataelewa Kweli? Hip hop Ni mziki wa wanaume lakini ngonjera Za Niki wa pili,bongo fleva Na taarabu Ni muziki ya wanawake Na mashago
Katika snario hiyohiyo mbona akipanda fid q akichana anapata shangwe lake as usual y not Niki mbishi au fid q nae anaimba ngonjera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…