JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Wewe ni Niki wa pili au chawa wake!?Wewe ni mpumbavu, ndio maana ninasema jf imevamiwa na watoto. Unauliza usomi wa Nikki wa pili?
Nikki wa Pili amepata maendeleo kabla ya Ukuu wa Wilaya, tunaweka kumbukumbu sawa
Tanzania ni moja ya nchi ambayo hutaacha kushangaa ya walimwengu. Wengi wa waswahili wanajua kila mwenye pesa ni mwizi wa Mali ya umma. Hivyo kwa kutambua hilo nimeona niliweke wazi kwa huyu mkuu wa wilaya mh.Nikki wa Pili ili baadae akiwa nje ya ukuu wa wilaya isije kuonekana alipata utajiri...