Nikki Mbishi was underrated kumlinganisha na Nikki wa Pili

Nikki Mbishi was underrated kumlinganisha na Nikki wa Pili

Huyo jamaa mnamuhype kinyama au kisa kapata uDC ? [emoji23]. Kuna watu Wana akili na wasomi Ila wapo low key kina wakazi, mbishi naye pia, mwanaFA , Uno , mex Cortez and so on
Wakazi ana usomi gani? Niki mbishi ana usomi gani? Uno ana usomi gani?
Mbona siku hizi kumejaa Watoto Watoto Sana humu?
 
Siupingi uwezo wa unjuuu ila Kuna siku nilishangaa Sana baada ya malalakiko kua mengi kua jamaa anabaniwa kina weusi wanapendelewa kupewa shows unju akabahatika kuitwa kwenye show za wasafi festival Kama sikosei ni shinyanga kiukweli aibu niliona Mimi maana jamaa alikua anajiimbia mwenyewe mashabiki hawajui nyimbo zake kuficha aibu akaanza kufreestyle za uwongo na kweli kuua msala nikaja nikacheki shows za weusi fiesta akiwepo Niki wa pilii mikoani dooh majamaaa walikua wanaaamsha na Kijiji chote maraia wanajua nyimbo zao karibia zote

Sasa hapa nikaja nikawaza ukali wa mtu unapimwa vipi yani?
Unajua mafuta na Maji hujitenga. Niliwahi kuwaambia hao tamaduni, Kama wanaamini wanakubalika waandae show tu ya bure, waone. Kuna mwenza alikua na show za bure kule tandika mwembeyanga. Akajjkuta yupo na watu 10 tu.
 
Sasa mtu ameenda kumsikiliza zuchu anakutana Na Niki mbishi ataelewa Kweli? Hip hop Ni mziki wa wanaume lakini ngonjera Za Niki wa pili,bongo fleva Na taarabu Ni muziki ya wanawake Na mashago
Wewe ni punguani, Kama ana washabiki wake kwa nini asiandae show zake awapate hao watu wake? Muulize mauzo ya album na mixtapes zake kafikia wapi?
Acheni ujinga nyie
 
Wewe ni punguani, Kama ana washabiki wake kwa nini asiandae show zake awapate hao watu wake? Muulize mauzo ya album na mixtapes zake kafikia wapi?
Acheni ujinga nyie
WEwe kwasababu umeshazoea zuchu Na hadija kopa huwezi kuamini kama Kuna wanaume Tanzania

Definition: mwanaume Ni mtu anayesikiliza muziki wa kiume
 
Sasa tuupimeje ukali wa mtu sio kwa kuangalia response ya audience wakati akiperform au labda wewe unawazaje ili mtu aonekane ni mkali apimweje
NI Sawa na kupima ukali Kati ya MC na rapper ... Kiuwezo MC n hatari na anabaki na utamaduni halisi WA hip-hop ..rappers wanabadilika kutokana na trend hawa n wazee wa mainstream... audience inavutiwa zaidi na marappers au HIPHOP singers ..lkn ma MC tunawaelewa zaidi streetwise
 
Sasa tuupimeje ukali wa mtu sio kwa kuangalia response ya audience wakati akiperform au labda wewe unawazaje ili mtu aonekane ni mkali apimweje
Hip hop inapimwa Kwa mistari sio umaarufu...kuhusu response ya stage hata Juma lokole akipanda akaanza kukata mauno stage itarespond
 
NI Sawa na kupima ukali Kati ya MC na rapper ... Kiuwezo MC n hatari na anabaki na utamaduni halisi WA hip-hop ..rappers wanabadilika kutokana na trend hawa n wazee wa mainstream... audience inavutiwa zaidi na marappers au HIPHOP singers ..lkn ma MC tunawaelewa zaidi streetwise
Dj JD ✍️
 
Wewe ni mpuuzi, Nani alianza Kati ya Nikki wa Pili na weusi?
Wewe ndio mpuuzi!? Kuanza ndio nini!? Nikki alianza kubebwa na Joe na akaendelea kubebwa na Weusi as a group. Nje ya kivuli hicho ni sawa sawa tu na Abdu Kiba.
 
Back
Top Bottom