Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

Status
Not open for further replies.
Haya mambo siyo ya kufia jamani. Mnauhakika gani kuwa Biblia au kitabu cha Mwanzo ndio chenyenyewe kilivyoandikwa maelfu ya miaka iliyopita? Mnauhakika gani 100% kuwa kila kitu kilichoandikwa ni maneno ya Mungu?
Historia tu ya hii miaka hamsini inabadilishwa sana tu na kuwa propaganda sembuse kitu cha miaka zaidi ya 5000?
Mnawajua Waroma vizuri?
Btw mimi ni Mkatoliki pure na ninaipenda sana dini yangu ingawa ina mapungufu mengi sana.
 
Mwambie aandike kuhusu Quran wazee wa takbir waandamane,by the way Nikki wa pili si msanii wa hip-hop
 
Haya mambo siyo ya kufia jamani. Mnauhakika gani kuwa Biblia au kitabu cha Mwanzo ndio chenyenyewe kilivyoandikwa maelfu ya miaka iliyopita? Mnauhakika gani 100% kuwa kila kitu kilichoandikwa ni maneno ya Mungu?
Historia tu ya hii miaka hamsini inabadilishwa sana tu na kuwa propaganda sembuse kitu cha miaka zaidi ya 5000?
Mnawajua Waroma vizuri?
Btw mimi ni Mkatoliki pure na ninaipenda sana dini yangu ingawa ina mapungufu mengi sana.
Kwani ukikaa kimya unapungukiwa nini!?
Anyway hata ukihoji inakusaidiA nini!??
 
jamaa anajionaga kasoma sana na anajua kila kitu

Write your reply...
Na huko ndio kunamfanya ajitahidi kuuonyesha umma kuwa anawazaga sana na kutumia akili nyingi kung'amua mambo mapya ili aya post tumuone anaakili nyingi yani bonge la great thinker, kumbe ndo anaaribu. True anukuu walichosema wanafalsafa wahenga wa dunia hii aache upang'ang'a.
 
Ni mtizamo tu pengine hatujaelewa ana maanisha nini
 
Niki wa Pili ndie nani jamani.?? He's nobody in the world 🌏 of Theologians. I think he should not look for popularity in the sphere of his incompetence!
 
Haya mambo siyo ya kufia jamani. Mnauhakika gani kuwa Biblia au kitabu cha Mwanzo ndio chenyenyewe kilivyoandikwa maelfu ya miaka iliyopita? Mnauhakika gani 100% kuwa kila kitu kilichoandikwa ni maneno ya Mungu?
Historia tu ya hii miaka hamsini inabadilishwa sana tu na kuwa propaganda sembuse kitu cha miaka zaidi ya 5000?
Mnawajua Waroma vizuri?
Btw mimi ni Mkatoliki pure na ninaipenda sana dini yangu ingawa ina mapungufu mengi sana.
Hilo hatulikatai Biblia ina mjadala wake mpana wenye sintofahamu na changamoto nyingi tu.Lakini ni lazima tumshauri kwa hali ilivyo kwenye dini watu wengi wana cognitive dissonance na ndio mashabiki wake....

Lakini kuiponda hiyo ni wachache wanaweza mwelewa wengi wataona kapotea tu.Na maneno aliyotoa will be considered offensive.
 
Kosa lake ni nini mbona sioni? sababu kaenda kinyume na matakwa yenu basi amekua mchochezi lakini angeongea mnachotaka basi angekua hero,

uhuru wa kuongea ndio huo sasa, tulieni tu.
 
alishasem baad y mungu ni mzungu alaf yye nikki wa pili..
 
God was left in Africa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo hatulikatai Biblia ina mjadala wake mpana wenye sintofahamu na changamoto nyingi tu.Lakini ni lazima tumshauri kwa hali ilivyo kwenye dini watu wengi wana cognitive dissonance na ndio mashabiki wake....
Lakini kuiponda hiyo ni wachache wanaweza mwelewa wengi wataona kapotea tu.Na maneno aliyotoa will be considered offensive.
Hapa inawa offend sana sana wale wanaume wanaojiona kama vile wao ni Homo Sapiens+
 
Wataalamu wanasema "faith without reasoning is madness"
Nikki wa 2 yuko sawa ingawa huwa simpendi.
Bible haijashushwa kutoka mbinguni iliandikwa na watu ambao walikua wanaandika kulingana na elimu yao na tamaduni zao za kipindi hicho....kama kulikua na mfumo dume enzi hizo usitegemee mwandishi angeandika tofauti..
 
Waafrika tu ndio wameng'ang'ania hizi bullshit fairytale story. Hao wazungu wenyewe walioleta hiyo Biblia makanisa wamegeuza mgahawa sasa hivi. Mkiambiwa ukweli mnapaniki
 
Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa waumini wa dini ya Kikristo.

Katika bandiko hilo Nikki wa pili amesema (nina paraphrase ) "Story ya Mwanamke kuumbwa kutoka katika ubavu wa mwanaume.ni story ya zamani iliyoandikwa na mwanaume na inachangia mfumo dume". Wachangiaji wengi wamemponda Nikki wa pili wakionyesha hisia zao za kukerwa na maandiko hayo.Mmoja wa wachangiaji ni Adam mchomvu ambaye alichangia "Shame on you Lil bro".

Hii inaonekana Kama kashfa dhidi ya Biblia kwa sababu wakristo wanaamini kimetokana na Mungu hivyo kusema kimeandikwa na "mwanaume" imetafsiriwa Kama kashfa.Pia kukiponda kinachochea mfumo dume.

Napata tabu kuweka screenshot aliyeiona anaweza wekaView attachment 1097660
Kwaiyo yeye anajiona yupo sawa tu na wa wema?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom