Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Haya mambo siyo ya kufia jamani. Mnauhakika gani kuwa Biblia au kitabu cha Mwanzo ndio chenyenyewe kilivyoandikwa maelfu ya miaka iliyopita? Mnauhakika gani 100% kuwa kila kitu kilichoandikwa ni maneno ya Mungu?
Historia tu ya hii miaka hamsini inabadilishwa sana tu na kuwa propaganda sembuse kitu cha miaka zaidi ya 5000?
Mnawajua Waroma vizuri?
Btw mimi ni Mkatoliki pure na ninaipenda sana dini yangu ingawa ina mapungufu mengi sana.