Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuthibitisha kwamba kweli mwanamke aliumbwa kutoka kwenye mbavu ya mwanaume?Tuambie ww basi huo ambao unaona ni ukweli kwako sasa
Tatizo sio kung'ang'ania fairytale.Tunamshauri hii inaweza kuwa mbaya kwake kibiashara kwa sababu watu wengi wana cognitive dissonance when it comes to religion arguments, whey can't argue logically.Waafrika tu ndio wameng'ang'ania hizi bullshit fairytale story. Hao wazungu wenyewe walioleta hiyo Biblia makanisa wamegeuza mgahawa sasa hivi. Mkiambiwa ukweli mnapaniki
Nikki wa pili ndiye aliyeandika agano la Kwanza la Bible?Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa waumini wa dini ya Kikristo.
Katika bandiko hilo Nikki wa pili amesema (nina paraphrase ) "Story ya Mwanamke kuumbwa kutoka katika ubavu wa mwanaume.ni story ya zamani iliyoandikwa na mwanaume na inachangia mfumo dume". Wachangiaji wengi wamemponda Nikki wa pili wakionyesha hisia zao za kukerwa na maandiko hayo.Mmoja wa wachangiaji ni Adam mchomvu ambaye alichangia "Shame on you Lil bro".
Hii inaonekana Kama kashfa dhidi ya Biblia kwa sababu wakristo wanaamini kimetokana na Mungu hivyo kusema kimeandikwa na "mwanaume" imetafsiriwa Kama kashfa.Pia kukiponda kinachochea mfumo dume.
Napata tabu kuweka screenshot aliyeiona anaweza wekaView attachment 1097660
Unaweza kuthibitisha kwamba kweli mwanamke aliumbwa kutoka kwenye mbavu ya mwanaume?
hako ka mtu nilikasikia Siku moja kanasimulia story zake za sekondari redioni kakasema kalikuwa kakali sana kimasomo darasani mtangazaji akakauliza ulipata division gani kakajibu three!!....nikachoka kabisa!
Mnaomsifia jamaa msiichukulie poa biblia kabla watu hawajaanza kufirana biblia ilisha yasema hayo na ambayo hatujui yatatokea yakija kutokea tunakuta kwenye biblia tayari yapo hivyo msimpe kichwa saaana.
Tatizo sio kung'ang'ania fairytale.Tunamshauri hii inaweza kuwa mbaya kwake kibiashara kwa sababu watu wengi wana cognitive dissonance when it comes to religion arguments, whey can't argue logically.
He is supported by Christians,muslims, african traditionalist and atheist.
Ni kweli Biblia na vitabu vingine vya imani vina makandokando mengi tu.Mfano nilikuwa nasoma leo research zinaonyesha kisayansi jinsi human DNA ilivyo diverse ni lazima binadamu wawe wametokana na wazazi sio chini ya elfu kumi.
Lakini yeye ni msanii anategemea mashabiki any offensive words to religion may hold him back.
Pia unaweza kuthibitisha kwamba kweli mwanamke hakuumbwa kutoka kwenye mbavu za mwanamume?(Nachochea tu mada).Unaweza kuthibitisha kwamba kweli mwanamke aliumbwa kutoka kwenye mbavu ya mwanaume?
Si kila aliyesoma kaelimika, mbali na yote elimu dunia bila hekima ni sawa na kuwa na pesa bila akili chanya...Sio anajiona kiukweli jamaa kasoma kuwa na masters sio kitu kidogo.ila ndo hivyo labda mjaribu kum cretisize kama binadamu na muondoe elimu hapo mtapata muafaka.
Mnaomsifia jamaa msiichukulie poa biblia kabla watu hawajaanza kufirana biblia ilisha yasema hayo na ambayo hatujui yatatokea yakija kutokea tunakuta kwenye biblia tayari yapo hivyo msimpe kichwa saaana.
Na ndiyo kila uchwao huja hapa kulia lia jnc wanavyonyanyasika ktk ndoa na hao hao wasomi wenzao, hii dunia bn...[emoji28]Huyu jamaa atakuwa kapata mtoto wa kike eti ? Anatafuta sympathy ya wanawake...Ameipata...Hawa ndio wanadanganya wanawake kuhusu equality ya men and women.....Very stupid