Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

Status
Not open for further replies.
Wanawake wasingekubal biblia iwe katika lugha hii ya dunia ya leo.
Nikki yupo sahihi
 
Waafrika tu ndio wameng'ang'ania hizi bullshit fairytale story. Hao wazungu wenyewe walioleta hiyo Biblia makanisa wamegeuza mgahawa sasa hivi. Mkiambiwa ukweli mnapaniki
Tatizo sio kung'ang'ania fairytale.Tunamshauri hii inaweza kuwa mbaya kwake kibiashara kwa sababu watu wengi wana cognitive dissonance when it comes to religion arguments, whey can't argue logically.

He is supported by Christians,muslims, african traditionalist and atheist.

Ni kweli Biblia na vitabu vingine vya imani vina makandokando mengi tu.Mfano nilikuwa nasoma leo research zinaonyesha kisayansi jinsi human DNA ilivyo diverse ni lazima binadamu wawe wametokana na wazazi sio chini ya elfu kumi.

Lakini yeye ni msanii anategemea mashabiki any offensive words to religion may hold him back.
 
Mnaomsifia jamaa msiichukulie poa biblia kabla watu hawajaanza kufirana biblia ilisha yasema hayo na ambayo hatujui yatatokea yakija kutokea tunakuta kwenye biblia tayari yapo hivyo msimpe kichwa saaana.
 
hiki kijamaa kimevimbiwa na ki Master chake na hivi kinajisifugi kimesoma kuliko wasanii wote wa bongo ndo kinajiona kimekuwa katiba

atambue tu kuna wenye Master's hadi za masterbation na wako humble kwa public... na si public enemy.
 
Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa waumini wa dini ya Kikristo.

Katika bandiko hilo Nikki wa pili amesema (nina paraphrase ) "Story ya Mwanamke kuumbwa kutoka katika ubavu wa mwanaume.ni story ya zamani iliyoandikwa na mwanaume na inachangia mfumo dume". Wachangiaji wengi wamemponda Nikki wa pili wakionyesha hisia zao za kukerwa na maandiko hayo.Mmoja wa wachangiaji ni Adam mchomvu ambaye alichangia "Shame on you Lil bro".

Hii inaonekana Kama kashfa dhidi ya Biblia kwa sababu wakristo wanaamini kimetokana na Mungu hivyo kusema kimeandikwa na "mwanaume" imetafsiriwa Kama kashfa.Pia kukiponda kinachochea mfumo dume.

Napata tabu kuweka screenshot aliyeiona anaweza wekaView attachment 1097660
Nikki wa pili ndiye aliyeandika agano la Kwanza la Bible?
 
Amedai hiyo ni nukuu ya kitabu kinaitwa second sex!
 
Unaweza kuthibitisha kwamba kweli mwanamke aliumbwa kutoka kwenye mbavu ya mwanaume?

Naamini kila kilichoandika kwenye biblia kwahyo tuishie hapo tu good luck kwenye safari yako yakutaka kujua alipotoka mwanamke na hizo master zenu.
 
hako ka mtu nilikasikia Siku moja kanasimulia story zake za sekondari redioni kakasema kalikuwa kakali sana kimasomo darasani mtangazaji akakauliza ulipata division gani kakajibu three!!....nikachoka kabisa!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu jamaa atakuwa kapata mtoto wa kike eti ? Anatafuta sympathy ya wanawake...Ameipata...Hawa ndio wanadanganya wanawake kuhusu equality ya men and women.....Very stupid
 
Mnaomsifia jamaa msiichukulie poa biblia kabla watu hawajaanza kufirana biblia ilisha yasema hayo na ambayo hatujui yatatokea yakija kutokea tunakuta kwenye biblia tayari yapo hivyo msimpe kichwa saaana.

Biblia na Quraan zenu zimefeli vibaya, chukulia mfano kwamba hakuna mahali zimetaja Dunia ni ya mviringo mpaka tunakuja kugundua leo. Walichoongelea humo ni Mashariki na magharibi. Hii inaonyesha kwamba walioandika walifikiria the Earth is flat. Zilizopo kwenye hivi vitabu ni stori kama za Disney tu
 
Tatizo sio kung'ang'ania fairytale.Tunamshauri hii inaweza kuwa mbaya kwake kibiashara kwa sababu watu wengi wana cognitive dissonance when it comes to religion arguments, whey can't argue logically.

He is supported by Christians,muslims, african traditionalist and atheist.

Ni kweli Biblia na vitabu vingine vya imani vina makandokando mengi tu.Mfano nilikuwa nasoma leo research zinaonyesha kisayansi jinsi human DNA ilivyo diverse ni lazima binadamu wawe wametokana na wazazi sio chini ya elfu kumi.

Lakini yeye ni msanii anategemea mashabiki any offensive words to religion may hold him back.

Anamsimamia kile anachokiamini, vilevile anaweza kutumia nafasi aliyonayo kuelimisha na kuwatoa watu kwenye utumwa wa akili.
 
NB:MSIHUKUMU KABLA HAMJAYAJUA MAMBO KIUNDANI HAYO SI MANENO YA NIKKI BALI NI NUKUU TOKA KITABUNI MLETA MADA NAE ACHA KUKURUPUKA RUDI TENA KWENYE PAGE YA NIKKI, ILI UMSAFISHE.
 
Sio anajiona kiukweli jamaa kasoma kuwa na masters sio kitu kidogo.ila ndo hivyo labda mjaribu kum cretisize kama binadamu na muondoe elimu hapo mtapata muafaka.
Si kila aliyesoma kaelimika, mbali na yote elimu dunia bila hekima ni sawa na kuwa na pesa bila akili chanya...
 
Hv badokuna mijitu kama nyie inatembelea kwenye udini,dunia sasa tunaamini mungu mmoja haijalish n kutoka dini gani,kwahyo wew mleta Uzi futa hyo mistar inayoelezea ukristo hapo
 
Uko sahihi lkn jitahidi kupunguza ukali wa maneno Chifu
Mnaomsifia jamaa msiichukulie poa biblia kabla watu hawajaanza kufirana biblia ilisha yasema hayo na ambayo hatujui yatatokea yakija kutokea tunakuta kwenye biblia tayari yapo hivyo msimpe kichwa saaana.
 
Huyu jamaa atakuwa kapata mtoto wa kike eti ? Anatafuta sympathy ya wanawake...Ameipata...Hawa ndio wanadanganya wanawake kuhusu equality ya men and women.....Very stupid
Na ndiyo kila uchwao huja hapa kulia lia jnc wanavyonyanyasika ktk ndoa na hao hao wasomi wenzao, hii dunia bn...[emoji28]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom