Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke apige magoti apokee pete.Hili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
Duh wabongo bana ..nyie kuponda tuNa hako kamwili kake kama kanabakwa
Kweli vyuma vimekaza... Unapopost kitu kama hicho background ni muhimu sana...hapo ni kama amekurupuka bila maandalizi... Au ndio mambo ya surprise?Rapa msomi kutoka kiwanda Cha bongo fleva Nikki wa Pili amemvisha Pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi , akitarajia kuaga rasmi kambi ya ukapela
View attachment 960833
Mimi sitaki hata kulisikiaHili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
Hahah kwanini?Mwanamke apige magoti apokee pete.
Kwahiyo ulitaka aigize? Je kama huo ndio uhalisia wa maisha yake?Kweli vyuma vimekaza... Unapopost kitu kama hicho background ni muhimu sana...hapo ni kama amekurupuka bila maandalizi... Au ndio mambo ya surprise?
Hapana sio kuigiza kuna matukio huwa yanahitaji maandalizi.... Na ndio maana nikagusia pia ishu ya surpriseKwahiyo ulitaka aigize? Je kama huo ndio uhalisia wa maisha yake?
Kabla ya ubwabwa huyo dada sio mwanafunzi wa shule msingi? Unshakia hata wale wa muskitini wanapelekewa ubwabwa tunasukuma ndanibas sawa#ubwabwa lini!