Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Binti alikuwa analiwa na kigogo mmoja awamu ya nne au kaishiwa huyo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mila na desturi za wazungu.. Mwanaume wa Kiafrika umpigii goti mwanamkeHili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
Ni ushamba flani hiviHili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
Hili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
Mwanamke apige magoti apokee pete.
Mimi sitaki hata kulisikia
Yani hata nyie mnavyoendelea kuliongelea hapa Mi linanikereketa sana yani wanaume sijui tumekuaje yaniNi ushamba flani hivi
Mwanaume wa kweli hapigi magoti huo ni uzwazwa.Yani hata nyie mnavyoendelea kuliongelea hapa Mi linanikereketa sana yani wanaume sijui tumekuaje yani
Uzwazwa first class yaniMwanaume wa kweli hapigi magoti huo ni uzwazwa.
Aisee .ndio maana mimi nitaoa mwanamke ambaye hajawahi kuwa kwenye relation aiseeBinti alikuwa analiwa na kigogo mmoja awamu ya nne au kaishiwa huyo mzee
Aisee .ndio maana mimi nitaoa mwanamke ambaye hajawahi kuwa kwenye relation aisee
Mkuu.inawezekana tu.2015-2018 nimekutana nao watatu sealed kabisa.Ni vigumu sana labda uwowe aliyemaliza primary miaka 16 tofauti na hapo ataliwa sana kabla hamjakutana
Yeye atakupigia magoti for the rest of your lives wewe kupiga magoti siku moja tu unaona ubahili acha roho mbayaHili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
MmeshaanzaBinti alikuwa analiwa na kigogo mmoja awamu ya nne au kaishiwa huyo mzee
Asee kwahiyo kupigiwa goti siku moja inawapa faraja ya mileleYeye atakupigia magoti for the rest of your lives wewe kupiga magoti siku moja tu unaona ubahili acha roho mbaya
Mmeshaanza
We Chalii na wewe sijui umetokea wapi..sijasema hivyoAsee kwahiyo kupigiwa goti siku moja inawapa faraja ya milele
Hahaha jumapili njemaWe Chalii na wewe sijui umetokea wapi..sijasema hivyo
Piga magoti upokee pete kama ishara ya heshima kwa mmeo mtarajiwaYeye atakupigia magoti for the rest of your lives wewe kupiga magoti siku moja tu unaona ubahili acha roho mbaya
Nawe piaHahaha jumapili njema
Ni makubaliano tu hayoPiga magoti upokee pete kama ishara ya heshima kwa mmeo mtarajiwa
Mkuu.inawezekana tu.2015-2018 nimekutana nao watatu sealed kabisa.