Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Baadhi ya comments humu ukisoma unapata picha ya hulka halisi ya sisi negro kimtazamo dhidi ya mwanamke.
Haimaanishi kumpigia magoti mwanamke wewe ni boya.
Humu kila mtu anajifanya hapigi magoti sababu hatuwajui. Kujifanya wagumu ukweli wanaujua wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unampigiaje magoti mtu unayeenda kumlala?!...huko kwetu mwanamke hata akija kuleta maji ya kunawa anapiga yeye magoti haiwezekani mwanaume umpigie mwanamke goti hata kwa kitu gani hata baba mkwe wako atakuona boya akufukuze hapohapo
 
Sasa kama yeye siku zote anakupigia magoti wewe unaona mzigo kupiga magoti siku moja tu hiyo
 
Bora atulie maana alikua na mawenge sana kila day anampost post huyo demu.

Itakua anaona kama ndo demu mkali. Itakua hajawai kupata demu mkali kama huyo ndo mana alikua na pepe nyingi
 
Back
Top Bottom