Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Yani hata nyie mnavyoendelea kuliongelea hapa Mi linanikereketa sana yani wanaume sijui tumekuaje yani
Jamaa amefeli sana, mwanamke ndio anatakiwa ku bow, ndio maana hata ndoa nyingi zinayumba sikuhizi! Mwanamume kuweka hisia mbele badala ya logic ni ufala!
 
JAMAA nikki WA PILI ALIKUWA MEMBER MTIIFU WA CHAPUTA ILA .SASA KAHISHA AGA .SO CHAMA KIMEPUNGUA WANACHAMA
Yeah toka 2006 alikuwa na CARD ya chama tunamtambua ila amesaliti chama toka alipokuja mjini 2010 naona anakula mlenda nachurale tu!
 
Huyu akizaa mtoto mmoja tu itakuwa fuso tandamu
Ndio ubaya wa mwanamke mwenye jimwili kabla hajashusha engine! Madem free size ndio wanakaaga vizuri wakizaa yani anazidi kuwa mtamu maradufu. Kitako kinaongezeka kidogo huku mwili unatanuka kidogo
 
Basi chuo kikuu hakija mkomboa kama ndio hivyo... Mshana Jr yupo sahihi kuna matukio kwenye maisha yako tokea umezaliwa unayafanya mara moja tu nayo ni siku moja tu tena muda mchache kwanini usiyafanye yawe ya kipekee
Ni kweli alipaswa kuipaka rangi hiyo nyumba hata kopo moja
 
Unampigiaje magoti mtu unayeenda kumlala?!...huko kwetu mwanamke hata akija kuleta maji ya kunawa anapiga yeye magoti haiwezekani mwanaume umpigie mwanamke goti hata kwa kitu gani hata baba mkwe wako atakuona boya akufukuze hapohapo
Calm down bro,agrrrh kwani does it make any changes kwenye kipato or anything profitable in the family.you guys should learn how not to judge other on what you believe.
 
Back
Top Bottom