Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Kabla ya ubwabwa huyo dada sio mwanafunzi wa shule msingi? Unshakia hata wale wa muskitini wanapelekewa ubwabwa tunasukuma ndani
Sijui kwann nimesoma post yako usiku huu wa manane. Nimecheka sana hadi nikaenda kutengeneza chai ninywe usiku huu
 
Huu unaitwa uchumba sugu

Ila na kalamaganda kabugi amechangia huu uchumba kuwa sugu toka amle huyu demu pale witaz lodge sinza jamaa kaamua ambato tu na si kuoa
Hv hii ni skendo ya ukweli kabisa??

Bhac mahusiano magumu sana
 
Washaachana kitambo 😆😆😆
Wanangu hapa myumbani wanaseema "zilipendwa"
NB: Vijana ukioa mrembo jiandae kugongewa tu, iwe kazini, safarini, ukweni popote mrembo atasemeshwa na mtu mwenye hela kuliko wewe na ipo siku utamkwaza nyumbani huku nje kuna mtu anamheshimisha vizuri na kum'bembeleza, utagongewa tu.

Wanawake hatutaki mambo mengi, hamjaona mke anaishi Masaki, anapewa zawadi ya range rover kwenye birthday, anapewa akaunti ya dollar na mapumziko dubai ila anato**** kwa ex-boy wake wa IFM? Sisi tunataka care!
 
Back
Top Bottom