Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Hili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
Kajambe mbele,wewe hujafanya engagement ,unaishi na mzinzi mwenzako na unaona wivu mkubwa Niki.

Hiyo ni heshma wewe mvulana, mwanamke wa ndoa ni-wa kuheshimiwa si wa kuchukulia poa tu.

Mwanamke unayejipigia tu ndio utasema huna nia ya kupiga magoti,mjmi mwenyewe natamani nirudi ndoa ,nilale chini kabisa
 
Mkuu.inawezekana tu.2015-2018 nimekutana nao watatu sealed kabisa.
Sealed wapo nawajua watatu tena wameajiriwa mwaka huu mmoja Ndiyo nimemtoa juz na Ndiyo Mke wangu badae kwa hiyo omba Mungu akupe wako
 
Back
Top Bottom