Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Si ushamba ila unampost vipi yani? How yanii??

Jinsi unavyompost inadetermine levo yako ya ushamba na mawenge ktk mapenzi!

Sasa tunatumia kipimo gani kujua ushamba?

Tunatumia "subjective test".

Ni ipi iyo test?
Nakuachia assignment?
Marks 1.5

Nampost kutokana na tukio au jambo fulani,
lakini naweza kumpost kama utambulisho kwa jamaa zangu ndugu na marafiki,
pia naweza nikampost bila sababu za msingi kwa maana ya kumfanya ajione anathaminiwa.

Kipimo cha ushamba inategema na mtazamo wa yule anayeangalia picha iliyopostiwa na uelewa wake kuhusu mapenzi
 
Haya kampost huko Facebook.
Una lingine? A
Au unatama umpost na hapa?
Feel Free then
 
Kweli vyuma vimekaza... Unapopost kitu kama hicho background ni muhimu sana...hapo ni kama amekurupuka bila maandalizi... Au ndio mambo ya surprise?

Msomi wa chuo kikuu huyo hana show off za akina nanii ambao hata hiyo background huwa inatengenezwa kwa hisani ya.....
Hongera sana kwake, mambo simple ndio yanayovutia zaidi tena bila hata ya photoshop!!
 
Basi chuo kikuu hakija mkomboa kama ndio hivyo... Mshana Jr yupo sahihi kuna matukio kwenye maisha yako tokea umezaliwa unayafanya mara moja tu nayo ni siku moja tu tena muda mchache kwanini usiyafanye yawe ya kipekee
 
Kwani ulitaka afanye ktk mtindo gani labda? Kila mtu ana mtindo wake wa maisha. By the way, yeye ndivyo alivyoamua kufanya iwe ni mara moja maishani au la!
 
Akili yangu hainitumi kwamba aliishia pale...lazima kuna ratiba nyingine ziliendelea iache akili yako ifanye kazi yake usiache macho yako yatoe maamuzi.
 
Nisaidie wewe mkuu wanaume wa kiafrica bwana inferiority complex haijawaacha salama
Ndo unavojipa moyo.kwamba tumeanza kuwaona babada ya wazungu.hii ni Africa sio Europe
 
Basi chuo kikuu hakija mkomboa kama ndio hivyo... Mshana Jr yupo sahihi kuna matukio kwenye maisha yako tokea umezaliwa unayafanya mara moja tu nayo ni siku moja tu tena muda mchache kwanini usiyafanye yawe ya kipekee
Usikariri !!
 
Kweli vyuma vimekaza... Unapopost kitu kama hicho background ni muhimu sana...hapo ni kama amekurupuka bila maandalizi... Au ndio mambo ya surprise?
Background ya nini mzee baba, kama mtoto karidhika ndio cha muhimu! Hii inadhiirisha Nikki kapata mwanamke wa kweli na kichwani zimo, sio wale wapenda makuu kulazimisha venue ya engagement iandaliwe mara kualika mashosti bridal shower sijui makorokoro gani. Gharama zisizo na mantiki ilimradi show offsr,,,heko kwa huyo binti aonekana tu yupo real sana!
 
Msomi wapi boya tu huyo, una mpigia goti demu we vp bhana eti mwana hiphop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo ulitaka aigize? Je kama huo ndio uhalisia wa maisha yake?
Mshana namkubali sana braza angu ila kwa hili kafeli. Sijaona point ya kutaka maandalizi kwa kitu ambacho kiko wazi tu! Nadhani angependa kuona kuna background za majani au kwenye mu hoteli mkubwa ndio aone engagement imefanyika. Kimsingi Nikki yupo very right na demu wake anaonekana yupo real sana hana mambo ya kupenda makuu kama masistaduu wengi wa mjini! Thats a woman of every mans dream, awe real na wewe no matter what!
 
Back
Top Bottom