Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

hongera kwake.kwa kutimiza ahadi.Mungu awajalie safari yao
 
Wanawake ambao hawajavishwa pete ya uchumba humu lazima watetee suala la kupiga magoti
Mimi wale wanawake wanaotembea na magoti kwenye sendoff na harus ndio hua wananiacha hoi kwakweli.

Ila wewe mbona ulipigaga goti.
 
Mimi wale wanawake wanaotembea na magoti kwenye sendoff na harus ndio hua wananiacha hoi kwakweli.

Ila wewe mbona ulipigaga goti.

Magoti nilipiga shule sio kwny mambo ya kuvalishana pete
 
Sasa mbona kapiga magoti, anamaanisha nini!?
 
Back
Top Bottom