Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Huyo anaitwa malaya sio mremboWanangu hapa myumbani wanaseema "zilipendwa"
NB: Vijana ukioa mrembo jiandae kugongewa tu, iwe kazini, safarini, ukweni popote mrembo atasemeshwa na mtu mwenye hela kuliko wewe na ipo siku utamkwaza nyumbani huku nje kuna mtu anamsemeha vizuri na kumbembeleza, utagongewa tu.