Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Wanangu hapa myumbani wanaseema "zilipendwa"
NB: Vijana ukioa mrembo jiandae kugongewa tu, iwe kazini, safarini, ukweni popote mrembo atasemeshwa na mtu mwenye hela kuliko wewe na ipo siku utamkwaza nyumbani huku nje kuna mtu anamsemeha vizuri na kumbembeleza, utagongewa tu.
Huyu aliyeandika hapa ni mwanamke
 
Uliona mishangazi ya ki'chaga/ kiboroloni kwenye mkutano na Waziri mkuu?
Yani wanapambana hawana mbambamba!
Shangazi kama shangazi😂
Yule mama katrend.

Kulikuwa na mama mwingine tumefanya naye biashara,aloo mama mmarangu anaijua pesa yule 😂🙌
Mrembo,,,ana shepu na anafanya mazoezi kutengeneza tumbo🤣..
Huwa ananipa motisha sana yule Mama.
 
Rapa msomi kutoka kiwanda Cha bongo fleva Nikki wa Pili amemvisha Pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi , akitarajia kuaga rasmi kambi ya ukapela
View attachment 960833
Ukiona mwanaume anapoga kiti kwa mwanamke juwa mwanaume huyo ameuza uwanaume wake siku ya uchumba usije shangaa kuona mengi mbele ya safari. Ujinga kama huu unawatesa sana vijana hasa wanapo ingia ktk ndoa nakusahau waliuza uwanaume wao siku ya kwanza ya uchumba. Let keep silence and see 🙈
 
Acha kumfokea NIKKI
 
Kupoga ndo nini mkuu
 
Back
Top Bottom