and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Vina mudaa!!Hongera sana Nikki kwa Kumvisha Pete Mchumba wako .
Cc: WUDILANDI , KANTREWAIDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vina mudaa!!Hongera sana Nikki kwa Kumvisha Pete Mchumba wako .
Cc: WUDILANDI , KANTREWAIDI
Mbona kama ndio yule aliechapiwaHongera sana Nikki kwa Kumvisha Pete Mchumba wako .
Cc: WUDILANDI , KANTREWAIDI
Wasanii kuchapiana ni kawaida, ila mwana naona kama vile amejifunza saa hii anatumia fursa ya kisiasa ku-move on, tumpe muda atakuja kupata liji-shangazi lake huko serikalini lenye masters degree alafu halina mume.Mbona kama ndio yule aliechapiwa
Mwanaune kupiga goti.. huwa wanasema ndio anaomba uchumba.. Walipendezeana, ila wakata umeme sio watu wa mchezo
Of Course mambo ya proposal na kuvalishana Pete tumeiga kwa mabeberu:Mwanaune kupiga goti.. huwa wanasema ndio anaomba uchumba.. Walipendezeana, ila wakata umeme sio watu wa mchezo
Walipendezeana, nakumbuka miaka ya nyuma kipindi binti yupo UDSM na mshikaji wake.. mala kadhaa walikuwa wanafata pale mlimano city century cinemax kuangalja movie.. haya mambo banaa.. vijana wanakuwa wa 🔥🔥🔥 kuanzisha mapenzi ila kuya maintain kipengeleOf Course mambo ya proposal na kuvalishana Pete tumeiga kwa mabeberu:
Mwanaume ndiye anamuomba mwanamke uchumba, hivyo muombaji ndio anapiga goti na mwombaji akiwa amesimama anakubali:
Sasa, wa Bongo tuna mfumo dume, hasa unyakyusani na Kanda ya Ziwa ambapo hata ukienda kwa wanawake wanapiga magoti basi ikachukuliwa hivyo.
Kupiga goti ni umamaMwanaune kupiga goti.. huwa wanasema ndio anaomba uchumba.. Walipendezeana, ila wakata umeme sio watu wa mchezo
Kupiga goti ni uzushi sana, naonaga anaetakakiwa kupiga goti ni mwanamke.. sio kidumeKupiga goti ni umama
Kama upo chuo na una date na class mate wako na unategemea ndoa umepotea: WAtoto wa kike tunakuwa sana.Walipendezeana, nakumbuka miaka ya nyuma kipindi binti yupo UDSM na mshikaji wake.. mala kadhaa walikuwa wanafata pale mlimano city century cinemax kuangalja movie.. haya mambo banaa.. vijana wanakuwa wa 🔥🔥🔥 kuanzisha mapenzi ila kuya maintain kipengele
Kabudaa anapitia comments zenu vizuri sana 😬😬Mwanaume alieumizwa kuliko wote tangu hii nchi iungane na Zanzibar
Imekuwaje tena jamani ?
Nafikiri Niki alikuwa amemaliza ila huyo binti ndio alikuwa anasoma, au kama Niki alikuwa anasoma basi alikuwa anafanya PhD au Masters, mala kwa mala alikuwa wanakuja angalia movie na jamaa zangu flani pale wakawa wanasema hao hawawezi fika mbali, maana ana mtangaza sana binti..Kama upo chuo na una date na class mate wako na unategemea ndoa umepotea: WAtoto wa kike tunakuwa sana.
Mwaka wa 4 UDSM law school ataoa mtoto yupo form 3 Mwembetogwa secondary: Hii ni kwasababu hawa wanakuwa sana na mtoto akimaliza chuo kama ni wa kike anaweza olewa, akiwa kwenye interview or whatever maana wazazi wataandaa send of au kama hawawezi basi mume ataandaaa ila wewe mtoto wa kiume ndio unaandaa harusi na sherehe na mahari.
Ku-date chuo ni kupeana sex tu lakini hakuna ndoa na ni 4% tu ndio wanaoana.
NikKi alikuwa Masters.Nafikiri Niki alikuwa amemaliza ila huyo binti ndio alikuwa anasoma, au kama Niki alikuwa anasoma basi alikuwa anafanya PhD au Masters, mala kwa mala alikuwa wanakuja angalia movie na jamaa zangu flani pale wakawa wanasema hao hawawezi fika mbali, maana ana mtangaza sana binti..
Umeongea point sana kwenye last line, ukiwa na mwanamke alafu unampost sana, wapo watakao kuchapia tu, hapa mjini kuna watu wana mbumba ndefu kuliko wewe: Imagine una demu wako siku unaumwa upo dom anaenda mlimani city kununua charger ya simu maana tecno yake inamsumbua: Mlimani anakutana na Kajamaa kamepiga viwalo vikali na perfume aina ya DKNY Golden Delicious inanukia , ameswaki vizuri, ame shave vizuri,amevaa smart watch ya apple na ana iphone 14 plus, kapiga simple raba ya Air Jordan, amekunja shati kama Obama na jeans ya Levis, anamwambia demu wako amuelekeze lilipo duka la Apple akanunue ipod maana yake alisahau kwenye ndege jana yake akiwa anatoka serengeti kwenye vaccation .Demu wako anamsindikiza wakiwa wanaongea demu wako anamwambia amekuja mlimani anaangalia kwenye akaunti yake ya MNB kama ametumiwa hela na wazazi ili akanunue chaja ya kobe Kariakoo maana simu hichaji, Mwamba anampa pole alafu wanaenda duka la iphone anamwambia dada achague simu , demu anachagua iphone 13 xr, anamkumbatia jamaa anabaki na harufu ya manukato mazuri sana, anajisahau anatoka dukani kamzungushia mikono kiunoni, wanaenda nje kuna mghahawa wanapata kapuchino, giza linaingia mwamba anaondoa na demu wako mpaka Masaki kwenye Air BnB , anamla na anapewa maokoto:Nafikiri Niki alikuwa amemaliza ila huyo binti ndio alikuwa anasoma, au kama Niki alikuwa anasoma basi alikuwa anafanya PhD au Masters, mala kwa mala alikuwa wanakuja angalia movie na jamaa zangu flani pale wakawa wanasema hao hawawezi fika mbali, maana ana mtangaza sana binti..