Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Rapa msomi kutoka kiwanda Cha bongo fleva Nikki wa Pili amemvisha Pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi , akitarajia kuaga rasmi kambi ya ukapela
View attachment 960833
Hivi huyu Nikki bado yupo na huyu demu, nakumbuka kuna issue fulani jamaa alimwaga humu kuwa demu alikuwa analiwa na kigogo fulani huku akiwa na Nikki bado.
 
Hivi huyu Nikki bado yupo na huyu demu, nakumbuka kuna issue fulani jamaa alimwaga humu kuwa demu alikuwa analiwa na kigogo fulani huku akiwa na Nikki bado.
WAlimteua Nikki , jamaa badala afanye maamuzi magumu ya kubaki na waifu akacha kifaa nyuma, Mungu ameumba LIBIDO , na kipindi cha yai kupevuka libido hupanda, sasa unategemea nini hapo?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Umeongea point sana kwenye last line, ukiwa na mwanamke alafu unampost sana, wapo watakao kuchapia tu, hapa mjini kuna watu wana mbumba ndefu kuliko wewe: Imagine una demu wako siku unaumwa upo dom anaenda mlimani city kununua charger ya simu maana tecno yake inamsumbua: Mlimani anakutana na Kajamaa kamepiga viwalo vikali na perfume aina ya DKNY Golden Delicious inanukia , ameswaki vizuri, ame shave vizuri,amevaa smart watch ya apple na ana iphone 14 plus, kapiga simple raba ya Air Jordan, amekunja shati kama Obama na jeans ya Levis, anamwambia demu wako amuelekeze lilipo duka la Apple akanunue ipod maana yake alisahau kwenye ndege jana yake akiwa anatoka serengeti kwenye vaccation .Demu wako anamsindikiza wakiwa wanaongea demu wako anamwambia amekuja mlimani anaangalia kwenye akaunti yake ya MNB kama ametumiwa hela na wazazi ili akanunue chaja ya kobe Kariakoo maana simu hichaji, Mwamba anampa pole alafu wanaenda duka la iphone anamwambia dada achague simu , demu anachagua iphone 13 xr, anamkumbatia jamaa anabaki na harufu ya manukato mazuri sana, anajisahau anatoka dukani kamzungushia mikono kiunoni, wanaenda nje kuna mghahawa wanapata kapuchino, giza linaingia mwamba anaondoa na demu wako mpaka Masaki kwenye Air BnB , anamla na anapewa maokoto:
#Mwanamke wa chuo si mke.
 
Kweli mwanamke hatabiriki Kikubwa akupende hata ukiwa kapuku atakufichia aibu yako pakubwa sana,,mfano hai Zamaradi Mketema😊
Zamaradi public anamfichia fundi wake madhaifu lkn ndani moto unawaka...
Wanawake
Wanawake
Mna undugu mkubwa sana na shetani, sijui mliteta mangapi pale Edeni na Sheta😆😆😆
 
Kweli mwanamke hatabiriki Kikubwa akupende hata ukiwa kapuku atakufichia aibu yako pakubwa sana,,mfano hai Zamaradi Mketema😊
Apart from Zamaradi
Zamaradi public anamfichia fundi wake madhaifu lkn ndani moto unawaka...
Wanawake
Wanawake
Mna undugu mkubwa sana na shetani, sijui mliteta mangapi pale Edeni na Sheta😆😆😆
Naona ka-Mange na Zama wamepanga story wapate maokoto.
 
Joana najua wewe ni mcha Mungu , hivi kweli wanaume namna hawana adabu, yaani unawezaje mvua chupi mtumishi wa Mungu?
🤣🤣🤣🤣Hawana hofu ya Mungu...
Nina mshkaji wa Karibu yeye alikuwa na ugomvi na wadada wanaovaa ninja wale swala Tano.....yaani anakwambia lazima nimvue hilo baibui na alikuwa anawapelekea sana
 
Zamaradi public anamfichia fundi wake madhaifu lkn ndani moto unawaka...
Wanawake
Wanawake
Mna undugu mkubwa sana na shetani, sijui mliteta mangapi pale Edeni na Sheta😆😆😆
At least anawezea mfichia madhaifu mumewe jamani,mnataka awe kama Joyce Kiria alivyokuwa anamuwasha kileo anashindwa kulipa Kodi?😅
 
WAlimteua Nikki , jamaa badala afanye maamuzi magumu ya kubaki na waifu akacha kifaa nyuma, Mungu ameumba LIBIDO , na kipindi cha yai kupevuka libido hupanda, sasa unategemea nini hapo?
Hapo nategemea Mimba tu pigwa mbupu shika Mimba na wewe vipi mayai yako yapo active au ndio tayari yameshakua mayai VISA?

Nakuuliza weewe Jaji Mfawidhi na hii uiandikie report
 
Back
Top Bottom